Search This Blog

Tuesday, December 4, 2012

JE WEWE UNAMZUNGUMZIAJE ?

5 comments:

  1. comment ya balotell nimeipendaaaaa but all in all he is best #respect!!!

    ReplyDelete
  2. nini tena mtu kama mimi naweza zungumza shaffih zaidi ya kusema what they said about dis FENOMENO hakuna cha kuongeza labda niseme HAKUNA MBADALA WA MFANO WAKE ATABAKI KUA RONALDO DE LIMA aka EL-FENOMENO

    JIWE MWANAKIJIJI

    ReplyDelete
  3. huyo ni balaaa.....mchezaji bora wangu w siku zote..sahau kuhusu c.ronaldo

    ReplyDelete
  4. Huyu ni mchezaji mwenye mafanikio yote,amechukua kila kombe unalojua wewe ambalo kila mchezaji wa kiwango chake angependa kuchukua akiwa na club husika.
    Big Up sana Ronaldo de Lima..

    Abraham J. Mcharo
    DUCE.

    ReplyDelete
  5. sijawahi kuona striker kama huyu

    ReplyDelete