Search This Blog

Monday, December 3, 2012

HIVI NDIVYO ILIVYOKUWA KATIKA MAADHIMISHO YA MIAKA 13 YA SUPER BRAND RADIO STATION CLOUDS FM


Wasanii wa THT, Rachel na Lina wakikamua.

Lina akiimba kwa hisia.

Dully Sykes akikamua.…
Wasanii wa THT, Rachel na Lina wakikamua.
Lina akiimba kwa hisia.
Dully Sykes akikamua.
Naseeb Abdul ‘Diamond’ akizindua kibao chake kipya kiitwacho Nataka kulewa.
Mashabiki wakimtunza Diamond.
Makamuzi yakiendelea.
Mwanamuziki wa kizazi kipya, Keisher (kulia) na shosti wake wakifurahia burudani.
AT akifanya makamuzi.
Mashabiki wakiserebuka kwa raha zao.
Ni raha tupu!
P Funk ‘Majani’ naye alikuwepo.
Juma Nature (kulia) na KR Mullah wakinogesha hafla hiyo.

UMATI mkubwa wa mashabiki usiku wa kuamkia leo ulifurika Club Bilicanas jijini Dar es Salaam ambako kulifanyika ‘Birthday Party’ ya kituo cha redio cha Clouds cha jijini Dar es Salaam kutimiza miaka 13. Katika hafla hiyo wasanii mbalimbali walitumbuiza.
                                       (PICHA : RICHARD BUKOS NA MUSA MATEJA/GPL)

3 comments:

  1. ebana fulll mzuka ililkuwa

    ReplyDelete
  2. kama na nature alikuwepo baaaassssssssssssss! ilikuwa poa sana,

    ReplyDelete