Search This Blog

Monday, December 10, 2012

GERD MULLER: MWANAUME AMBAYE REKODI YAKE IMEVUNJWA NA LEO MESSI

Swarmed: West Germany's Gerd Muller trying to find a way through the Holland defence during the 1974 World Cup final
Gerd Muller akijaribu kufunga mbele ya ukuta wa Holland katika 1974 World Cup final


Gerd Muller alifunga mabao 85 katika mechi 60 akiichezea Bayern Munich na Ujerumani Magharibi mwaka 1972 - rekodi ambayo imekuwepo kwa miaka 40  sasa.

Hivi ndivyo Muller alivyojitengenezea rekodi yake.

BAYERN MUNICH
Bundesliga: Mabao 42 katika mechi 34
European Cup: Mabao 10 katika mechi 4
Cup Winners Cup: Bao 1 katika mechi 2
DfB Pokal: Mabao 7 katika mechi 6
DfB Ligapokal: Mabao12 katika mechi 5 
 
GERMANY

Euro1972: Mabao 5 katika mechi 4
Mechi za kirafiki: Mabao 8 katika mechi 3

Kipindi bora kabisa cha ufungaji: Mabao 16 katika mechi 8

Muda mrefu bila kufunga: Mechi 3 

Katika magoli yote 85 aliyofunga - alifunga yote bila mkwaju wa penati. 


2 comments:

  1. ukifuatilia mabao yake mengine Muller alifunga kwenye mashindano dhaifu yaliyoshirikisha timu ligi ya chini tofauti na mEssi. Messi hana mfano

    ReplyDelete
    Replies
    1. hata messi amezifunga timu dhaifu pia,messi amefunga penalt 25 ktk hayo mapol yake huyo mwanaume hapo hajapga hata penalt moja!

      Delete