Search This Blog

Thursday, December 20, 2012

CHELSEA YATIMIZA MABAO 126 NDANI YA MWAKA HUU - WAKIITUNGUA LEEDS 5-1

Klabu ya Chelsea jana usiku ilitoka nyuma ya goli 1-0 na kwenda kushinda 5-1 dhidi ya Leeds United katika mchezo wa robo fainali ya kombe la Capital One uliofanyika katika uwanja wa Elland Road. Kwa ushindi wa jana Chelsea kwa jumla imefunga mabao 126 ndani ya kalenda ya mwaka mmoja(2012) ikiwa bado bao moja tu kuvunja rekodi yao ambayo ni mabao 127 waliyoiweka mwaka 2010.
แอิืืืืืืืืืืืืืืืืืืืืืืืิิืททท้เำ by footyroom

2 comments:

  1. hao vijana wa darajani ni moto wa kuotea mbali balaaaaaa. wanacheza mpila kama wanakunywa maji'

    by emanuel chelsea

    ReplyDelete
  2. DAH!EBANA HILI KOMBE JAMAA WAMELIKOMALIA SANA COZ UKIANGALIA MAKOMBE MENGINE MILANGO INAZID KUFUNGA BTU

    ReplyDelete