Search This Blog

Saturday, December 1, 2012

BAADHI YA MALI ZA SHARO MILLIONEA ZILIZOPATIKANA - MILLION 6 ALIZOKUWA NAZO ZAENDA NA MAJI



2 comments:

  1. Hao watu waliofanya vitendo hivyo wapate laana kwa mwenyezimungu

    ReplyDelete
  2. Dah sijui tupo wapi na tunaelekea wapi watanzania,maana leo hii watu hawajali utu wanajali mali baada ya kumsaidia mwenzao pengine wangemuwaisha hsptl yasingetokea ya kifo.Lkn wao kuibia na kumuacha anakufa dah mungu tunusuru na tunakoelekea ameen

    ReplyDelete