Maelezo ya kiundani zaidi kuhusu rekodi ya Leo Messi aliyoivunja siku ya jumapili dhidi ya Real Betis
- By scoring a brace at the Benito Villamarín, Leo Messi took his
total in 2012 to 86 goals, beating the all-time record in a calendar
year set by Gerd Müller (1972).
- In the league, Messi has scored 56 goals in 34 games, while Müller got 42 in 34 games.
- Barani ulaya, Messi amefunga mabao 13 katika mechi 11, wakati Müller alitupia mabao 10 katika mechi 4.
- Kwenye kombe la FA, Messi alifunga mabao 3 katika mechi 7 na Müller alifunga 7 katika mechi 6.
- Mwezi wa tisa ndio ulikuwa mwezi mzuri zaidi kwa Messi alifunga mabao (13), wakati mwezi wa 3 ndio ulikuwa mzuri zaidi kwa Muller baaa ya kufunga mabao (13).
- Messi alifunga mabao 86 katika mechi 66 akiwa na Barça na Argentina. Boomber of the nation alifunga 85 katika mechi 60.
- Mabao 76 ya Messi aliyafunga na mguu wa kushoto, 7 na mguu wa kulia na matatu kwa kichwa.
- Mabao 74 aliyafunga ndani ya box la penati na 12 aliyafunga nje ya boksi.
- Malaga na Bayer Leverkusen (6) ndizo timu ambazo Messi amezifunga mabao mengi zaidi mpka sasa ndani ya mwakak 2012.
- Iniesta (9), Cesc (6) and Alexis (6) hawa ndio waliompa asissits nyingi katika mabao yake 86.
- Mabao yake 23 katika mechi 15 ni mengi zaidi katika mwanzo wa La Liga, akiifikia rekodi iliyokwa na Cristiano Ronaldo (2011/12).
- Jumapili, Messi alifunga bao lake la kwanza katika uwanja wa Benito Villamarín, ingawa tayari alishawahi kufunga pale mara moja katika kombe la FA 2010/11.
No comments:
Post a Comment