Search This Blog

Thursday, November 29, 2012

ZANZIBAR HEROES KIBOKO YA AKINA NIYONZIMA - WAWAPIGA 2-1

Mfungaji wa goli la kwanza la timu ya Zanzibar Heroes akiambaa na mpira huku mabeki wa timu ya Rwanda wakijaribu kumzuia wakati wa mchezo wa mashindano ya Cecafa Challenge uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini Uganda

Wachezaji wa Zanzibar Heroes wakishangilia goli wakati wa mchezo dhdi ya timu ya Rwanda uliochezwa katika Uwanja wa Nelson Mandela uliopo Nambole nchini Uganda katika mashindano ya Cecafa Challenge


2 comments:

  1. keep up Zanzibar Hero tunatisha

    ReplyDelete
  2. huyu anaekokota mpira seleman selembe aliyefunga magoli ni khamis mcha aneonekana kwa pembenei

    ReplyDelete