Search This Blog

Saturday, November 24, 2012

TAIFA STARS ILIVYOWASILI UGANDA TAYARI KWA CHALENJI CUP


Timu ya Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars ikiwasili Katika Uwanja wa
Ndege wa Entebe nchini Uganda jana alasiri tayari kwa mashindano ya
CECAFA Senior Challenge yanayotarajiwa kutimua kivumbi Jumamosi. Stars
inadhaminiwa na Bia ya Kilimanjaro Premium Lager.






3 comments:

  1. Ndugu zetu wanaenda kutalii tuu hakuna watakachorudi nacho, mana tushawazoea

    ReplyDelete
  2. Nadhani maneno yangu ya ukweli c mmeona wamerudi mikono mitupu

    ReplyDelete