Search This Blog

Friday, November 30, 2012

PHOTOS: UHURU SULEIMAN MAZOEZINI NA AZAM FC KWA MARA YA KWANZA

Uhuru Suleiman akiwa ndani ya uzi wa Azam FC akifanya mazoezi chini ya kocha Stewart Hall katika uwanja wa Chamazi Complex



Uhuru akiwa na makocha wake Stewart Hall na Kally Ongara

1 comment:

  1. Safi kaka...Mm ni mmoja wa Mashabiki wako nakukubali sana. Kaza buti urudishe kiwango chako ninachokijua. Simba Fans tutakumiss sana.

    ReplyDelete