Search This Blog

Wednesday, November 14, 2012

MILOVAN CIRKOVIC: NIONDOKE AMA NISIONDOKE ?


after 2 losses,stay or not?
after 2 losses,stay or not?
Kocha wa klabu ya SIMBA raia wa Serbia,Milovan Cirkovic amewauliza mashabiki wa MNYAMA kwenye mtandao wa kijamii wa facebook kwamba baada ya timu yake kupoteza michezo miwili ya ligi kuu ya Vodacom,wanaamuaje AOONDOKE ama ABAKI ?
kazi kwenu wadau kupiga kura za kutosha hapa!

7 comments:

  1. Nadhani aondoke tu kwani ameshindwa kudhibiti nidhamu ya timu. timu inapocheza hasa mechi za ugenini inaonekana hakuna udhibiti wowote kwa wachezaji, na mara kadhaa imeripotiwa kocha huwa hayupo na wachezaji muda mrefu kabla ya mechi za ugenini

    ReplyDelete
  2. Coach Milovan Cirkovic you have not any mistake and you don't need to blemed for the Simba Sports Club looses no matter it is normally we use the results to judge for performance of the coach in a certain team. It is my opion that for the team to have good performance depends very much from the cooperation we made between Team Leaders,Players,Technical Bench as well as Fans on one way or another. For what it is happening within Simba S.C it is Lack of cooperation between the three pillars of the Team and the one who caused it is the Leaders. My suggestion is Milovan Cirkovic should remain to train our beloved team.
    It's me
    MKINGA C.J
    International School of Tanganyika
    Upanga Campus

    ReplyDelete
  3. you as a coach ,decide yourself .Simba has leadership problems.There is no understanding between the parties who registered players for the running season.Players to play for Simba are registered by different leaders. Hence there is no chance for the coach.I would advice you to pack up and go.Hawa Simba watakuumiza kichwa.

    ReplyDelete
  4. HICHO KINGEREZA CHA MKINGA C.J!!! IST SIJUI YA MNYAMANI?? KHA!!!

    ReplyDelete
  5. Ndio soka la bongo ilo unapndw ukiwa unashnd ukifungwa unakua adui, cjui lini tutabadlka

    ReplyDelete