Search This Blog

Saturday, November 10, 2012

LIVE MATCH CENTRE: SIMBA SC 0 - 1 TOTO - AZAM FC 1 - 2 MGAMBO JKT - FULL TIME


DK 90: Simba 0-1 Toto FULL TIME


 DK 83: Simba wanafanya mabadiliko anatoka Kazimoto anaingia Edward Christopher. 

Kutoka Tanga - Azam 1-2 Mgambo JKT 

 DK 74: Toto inapata bao la kuongoza linalofungwa na Mussa Said akiunganisha krosi ya Mohamed Jingo. Simba 0-1 Toto.

 DK 72: Mrisho Ngassa anaenda benchi na nafasi yake inachukuliwa na Haruna Chanongo. Simba 0 - 0 Toto

 DK 84: Issa Kambili anaipatia Mgambo bao la pili dhidi ya Azam

 DK 62: Toto inafanya mabadiliko anatoka Kheri Mohamed anaingia Mohamedi Hussein

 DK 55: Seleman Kibuta wa Toto anakosa bao la wazi baada ya shuti lake kupanguliwa na kipa wa Simba William Mweta.

Kutoka Tanga - DK ya 75 Azam 1-1 Mgambo

DK 50 Mrisho Ngassa anakosa bao la wazi akiwa amebaki na kipa wa Toto.

Kipindi cha pili kinaanza hapa uwanja wa taifa Simba 0-0 Toto
 
Kutoka Tanga hivi ni dakika ya 10 kipindi cha pili Azam 1-1 Mgambo.


 Mpira ni mapumziko Simba 0 - 0 Toto

 Dakika ya 42 milango ya timu zote bado migumu huku timu zikishambuliana kwa zama.

 Dakika ya 28 - Simba 0 - 0 Toto Africa

Kutoka Tanga - Dakika 45 za kipindi cha kwanza zimeisha timu zikitoshana nguvu, Azam 1 - 1 Mgambo JKT .

 Uwanja wa taifa leo upo doro, watu wakiwa wachache sana. Kipindi cha kwanza mpira ni mkali na timu zinashambuliana kwa zamau. Hivi sasa ni dakika ya 15 - Simba 0 - 0 Toto

AZAM 1 -1 MGAMBO - Mabao ya Kipre Balou  kwa Azam, na Issa Kambili aliifungia Mgambo

SIMBA 0 - 0 TOTO AFRICA


3 comments:

  1. Simba Simba.mpaka kikatike kichwa cha mtu ndo mjue tuna uchungu na timu

    ReplyDelete
  2. Kuna shida Simba, walilalamika viwanja vibovu, haya wataifa nao unamiba?? Kama hii ndio timu itakayowakilisha taifa katika club Bingwa ni lazima wakae chini watafute mzizi wa hili gonjwa...ILA NI WAZI KOCHA TIMU IMEMSHINDA kwani ina kila aina ya wachezaji watakaoleta matokeo

    ReplyDelete
  3. Tatizo nini.nikifikiria mbio za Okwi na Ngassa,umahiri wa Mwinyi na Kapombe,utulivu wa Boban nk.Mbona sioni wa kusimama.km ni kocha afukuzwe tu na kama kuna mdudu mwingine yoyote azimwe.

    ReplyDelete