Search This Blog

Thursday, November 22, 2012

DRFA EPISODE 3: Mayai, Tully na Ntahilaja wapeleka mapingamizi yao

Wagombea walioenguliwa wamewasilisha kwa TFF rufaa zao za kupinga majina yao kuenguliwa katika uchaguzi wa DRFA.

Ally Mayai, Said Tully na Philemon Ntahilaja ndiyo wagombea waliowasilisha rufaa zao kwa TFF kupinga uamuzi wa Kamati ya Uchaguzi ya DRFA kukata majina yao kwa kigezo cha kutokuwa na uzoefu wa uongozi katika soka.

Katibu wa kamati ya uchaguzi ya DRFA, Hella amethibitisha rufaa hizo zilizowekwa na wagombea hao.

1 comment:

  1. Shafii rufaa yako imetupiliwa mbali umezodolewa na kamati ya Lyatoo mbona kimya kwenye blog yako. Acha kuchafulia watu majina yao. Unataka wagombea wenzako wote watolewe sasa unataka wewe ushindane/ugombee na nani? Wacha woga ingia kwenye uchaguzi ukione cha moto. Wewe mchambuzi wa soka nenda kaombe kazi Super sports siyo kuwa kiongozi wa soka kwani siyo fani yako.

    ReplyDelete