Search This Blog

Wednesday, October 31, 2012

YANGA WALIPOWAPIGISHA KWATA MGAMBO WA JKT TAIFA

 Beki wa Yanga, Mbuyi Twite akimpongeza Nadir Haroub ‘Canavaro’ baada ya kufungia timu yake bao la kwanza dhidi ya Mgambo ya Tanga katika mchezo wa Ligi Kuu ya Soka Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam jana. Yanga ilishinda 3-0.(PICHA NA http://francisdande.blogspot.com/)
 Mshambuliaji wa Yanga Simon Msuva akimpongeza Nadir Haroub baada ya kufunga bao la kwanza

Didier Kavumbagu na Ramadhan Malima wa Mgambo kwenye mchezo wakichuana katika mchezo huo.


 

3 comments:

  1. Pole sana kaka naona hata jana hakukuwa na 'feasibility study' pale Redio ya Watu mpaka Karunguyeye ashinde?teheteheeeeee hapo ndo pabaya kuchanganya kazi na unazi.kwikwiki

    ReplyDelete
  2. KWA MAHESABU YANGU INAONEKANA KUWA SIMBA NA YANGA ZINALINGANA KWA GD AMBAZO GD 12 KILA MOJA KWA HIYO YANGA INA MAGOLI YA KUFUNGA 21 WAKATI SIMBA INA MAGOLI YA KUFUNGA 20. SIMBA IMEFUNGWA GOLI 8 WAKATI YANGA IMEFUNGWA GOLI 9. KILA TIMU IMECHEZA MECHI 11. HITIMISHO YANGA INAONGOZA LIGI KWA TOFAUTI YA GOLI 1 NA SIMBA. HABARI NDIYO KAMA NIMEKOSEA WADAU NISAIDIENI. ASALAM EL KHUM

    ReplyDelete
  3. KWA MAHESABU YANGU INAONEKANA KUWA SIMBA NA YANGA ZINALINGANA KWA GD AMBAZO GD 12 KILA MOJA KWA HIYO YANGA INA MAGOLI YA KUFUNGA 21 WAKATI SIMBA INA MAGOLI YA KUFUNGA 20. SIMBA IMEFUNGWA GOLI 8 WAKATI YANGA IMEFUNGWA GOLI 9. KILA TIMU IMECHEZA MECHI 11. HITIMISHO YANGA INAONGOZA LIGI KWA TOFAUTI YA GOLI 1 NA SIMBA. HABARI NDIYO KAMA NIMEKOSEA WADAU NISAIDIENI. ASALAM EL KHUM

    ReplyDelete