Search This Blog

Monday, October 22, 2012

SIMBA WALIPOKAMATWA NA MGAMBO JKT MKWAKWANI TANGA

Straika wa Simba, Felix Mumba Sunzu akivaa soksi baada ya kurudishwa benchini na refa Othman Lazi wa Morogoro ili akavae sawa na wachezaji wenzake kabla ya kuanza kwa mechi yao ya Ligi Kuu ya Vodacom dhidi ya Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakwani Tanga leo. Jambo hilo lilimfanya achelewe kupiga picha na wachezaji wenzake wa kikosi cha kwanza.
Nahodha wa Simba, Juma Kaseja (wa nne kulia) akiwalalamikia waamuzi kuhusu kurudishwa benchini kwa straika Felix Sunzu, huku nahodha mwenzake wa Mgambo JKT, Salum Mlima (14) akisalimiana na waamuzi
Wachezaji wa Simba wakiwa katika picha ya pamoja bila ya Sunzu ambaye alirushishwa kwenda kuvaa sawa na wenzake.

Wachezaji wa Mgambo JKT wakiwa katika picha ya pamoja.
Benchi la Simba
Mashabiki wa Simba wakishangilia baada ya timu yao kuingia uwanjani kabla ya kuanza kwa mechi yao dhidi ya Mgambo JKT kwenye Uwanja wa Mkwakwani, Tanga jana (Picha kwa hisani ya straikamkali.blogspot.com)

No comments:

Post a Comment