Search This Blog

Wednesday, October 10, 2012

HUU NI UZALENDO ATOA KALI NYINGINE! AMWAGA CHOZI BAADA YA YANGA KUTOKA SARE NA SIMBA.

6 comments:

  1. kwa mwenendo huu,kuna cku atakuja aga dunia cos yanga yenyewe kama majira(hali ya hewa)

    ReplyDelete
  2. na ilivyofungwa na kagera hajafa?

    ReplyDelete
  3. je walivyofungwa na kagera si atakua amekufa?

    ReplyDelete
  4. Mmh huyu jamaa kweli anaipenda yanga kuliko yeye mwenyewe mbona yale waliyoyafanya yanga asemi,refa aliboronga kote kote Simba walinyimwa penart mbona asemi kadi nyekundu mbili tuache ushabiki mpira Wa Simba ña yanga huwa hauna mvuto kabisa ukizingatia hawa ndio mama Wa mpira tz kweli tutapata wachezaji Wa ulaya ki ukweli still tuna mapungufu makubwa mabadiliko yanatakiwa sana.

    ReplyDelete
  5. Kazi kwelikweli huyu lazima apate ugonjwa moyo timu yenyewe ya yanga ni kimeo atalia sana mwaka huu ni bora ajinyonge kabisa akapumzike

    ReplyDelete
  6. Hahahahaha Ntaenda kusema nn mtaani lol!!

    ReplyDelete