Search This Blog

Friday, September 21, 2012

TOFAUTI YA KATI YA MABASI YA SIMBA NA YANGA NA LA GOR MAHIA

 yasemekana hili ni basi lililo nunuliwa na mashabiki wa Gor Mahia kwa ajili ya timu yao
 
 
 Mabasi ya Simba na yanga - PICHA KWA HISANI YA http://moronew.blogspot.com

3 comments:

  1. wakenya bado wanendekeza ukabila,mpaka majina ya kabila hadi wanapublish kwenye gari la timu!LUOPEAN INSIDE

    ReplyDelete
  2. Ndugu yangu Gor Mahia hawana basi kama hilo.Hebu angalia hiyo picture kwanza!that is photoshop yaani imekuwa edited,the picture is literally not real.Tafadhali futilia source ya Official website yao uone kama kuna basi kama hilo.

    ReplyDelete
  3. hiyo ni kazi ya photoshop haiitaji kuwa na degree ili kujua hilo angalia plate namba na hata maandishi ya mbele ya basi hao sio gor mahia ninayoijua mimi labda ya tandale

    ReplyDelete