Search This Blog

Thursday, September 20, 2012

AZAM - "HUU NDIO UOZO WA MAREFA WA TFF WALIVYOISADIA SIMBA KUSHINDA NGAO YA HISANI"

14 comments:

  1. hii ya penat sio ,wel kama okw alianza kushika cos mwisho wacku nan alikula nyama,zote hizo ni common errer in fotbal,waache maneno maneno wanaweze sema hata draw yao na toto simba ndio kasababisha wacheze mpira mwisho wa cku aliyeamka vizr ndio mshindi

    ReplyDelete
  2. Sawa tumeiona ila mbona hawajaweka goli la 2 la Azam ili tujilizishe pande zote mbili.

    ReplyDelete
  3. Anonymous wa pili umenena, wapi goli la pili la azam! angle za camera zenu hazithibitishi propaganda hizi! kila mtu mwenye muda na uwezo wa kutengeneza video fupifupi kama hizi zenye ushahidi 'tata' anaweza kutunga propaganda zake na kuaminisha watu! kila mtu ana macho! tumechoka na azam kulalamikia waamuzi wakati wao ndio vinara wa kubebewa nchi hii!

    ReplyDelete
  4. Achakutudanganya...hiyo offside ya Okwi unatuonyesha wakati mpira ushapigwa inaonyesha hujui mpira na kama hujui mpira na wewe ni mmoja wapo ya wale wanaorudisha nyuma soka letu

    ReplyDelete
    Replies
    1. Kadege u r very right juzi Chicharito wa Man U kapiga bao kwenye Barclays Prem League hiyo aliiona uyo jamaa!. Katika Football split second ni kubwa mno, na inaweza kuonyesha kitu tofauti kabisa na hali halisi.

      Delete
  5. Dah kaka shaffih ahsante sana kwa kuweka hii maneno maana siku zote nilijua Azam waliibiwa na refa! Kwanza kabisa hii video haitusaidii kuangalia offside ya goli la okwi maana offside unai-judge pale inapotolewa pasi na si mpira ukiwa hewani kama hii video ilivyofanya. Pia hiyo penalti ni halali, angalia mkono wa kulia wa huyo beki (ambao partially umezibwa). ahsante kaka hii imekaa vema!!

    ReplyDelete
  6. Nakubaliana na wewe kwamba Simba na Yanga huwa wanapendelewa sana, hii inasababisha sana soka letu kuharibika, lakini kwenye video yako huu ni mtazamo wangu.
    • Tukio la kwanza ulilosema kuwa Juma Kaseja ametoa mpira kwenye nyavu sidhani kama video yako inatuonyesha hivyo, kwenye situation kama hiyo lazima kamera iwe usawa wa kibendera cha kona ili uweze kujua kuwa mpira umeingia au lah, kamera haukuwa upande huo kwa hiyo ni vigumu sana kusema kwamba hilo ni goli au sio, na ili hilo liwe goli kumbuka kwamba mpira wote, narudia tena mpira wote unatakiwa uwe umevuga mstari wa goli yani hautakiwi hata ncha ya mpira kuwa usawa wa chaki. Therefore there is no sufficient proof for your claim. Mbaya zaidi hata wachezaji wa Azam hawakuonyesha kulalamika kwamba lile lilikuwa goli.
    • Tukio la pili ambalo linaanzia sekunde ya 52 kwenye video yako halina kichwa wala miguu, namaanisha hakuna kitu chochote ambacho nafikiria kwamba ulitaka tukione, cross imepigwa mtu kashindwa kuunganisha so what???? Kuna tatizo gani hapo????
    • Tukio la tatu ambalo linaanzia dakika ya 1 na sekunde ya 34 kwenye video yako nalo halina kichwa wala miguu, namaanisha sijaelewa ulikuwa unalalamikia kitu gani, mtu katanguliziwa mpira kapiga akapiga nje kabla hata ya kugusana na mchezaje wa Simba, wewe kwa mawazo yako ulitaka iweje sasa?????? Corner??, Penalty?? Mbona sikuelewe!!!
    • Tukio la nne dakika ya 2 na sekunde ya nane nalo halina kichwa wala miguu, mtu katanguliziwa mpira akamzunguka juma kaseja then kapiga nje na kuanguka bila hata kuguswa sasa ulitaka iweje???????? Mbona sikuelewi jamaa yangu
    • Tukio la tano dakika ya pili na sekunde ya 48 hili sasa ndio tukio la kweli na linaloonekana bila hata kuvaa miwani ya 3D, hii ni penalt halali ambayo referee alizingua kuto kutoa penalt mbaya zaidi kumpa kadi ya njano mchezaji wa Azam, Point ya kwanza kwa wewe uliyepost hii video.
    • Tukio la sita, nimegundua kuwa we jamaa soka haulifahamu tena haulijui kabisa, hiyo offside wewe unaiangaliaje????, offside tunaangalia position ya mchezaji kwa kumuangalia mtoaji pasi just before hajatoa pasi, sasa wewe na akili zako fupi mpira umeshapigwa uda mrefu karibu unamfikia mshambuliaji eti wewe ndio una pause video na kusema hiyo ni offside, bullshit kabisa, pause video wakati mpira ndio unaanza kutoka mguuni kwa mtoa pasi na sio pasi ikiwa inamfikia mchezaji, kasome upya sharia za soka. Fuata hii link upate elimu kuhusu offside http://www.youtube.com/watch?v=JiwmR6CC0Bk
    • Tukio la saba, kusema za ukweli sijaona kilichotokea I wish camera ingechukua from the other angle ningeweza kutoa judgment, no comment for that.
    • CONCLUSION: we jamaa unaongea ushabiki zaidi kuliko ukweli, tukio ambalo refa alichemka ni lile ambalo aliwanyima AZAM penalt na si vinginevyo, nahisi soka umeanza kuifuatilia juzi, kuna vitabu vingi sana unahitaji kusoma ili kuweza kutoa comments kuhusu soka, bado mchanga sana.

    ReplyDelete
  7. Hata goli alilofunga Bocco mbona ni clear offside, hawa Azam nao mpira utawashinda mapema kama wataanza kulalamika na kutengeneza clip zao.

    ReplyDelete
  8. Azam wanatafuta huruma tu ya wananchi, ila kama tukiamua kusema kweli basi hakuna timu yenye kuhonga marefa kama azam, kwaka waliopanda ligi kuu kituo chao kilikua dodoma na mambo yaliyokua yanatokea pale ni aibu tupu. meci ya mwisho waliwaahidi majimaji milioni 20 lakini nchimbi akawachimbia mikwara wachezaji so ikabidi ile milioni ishirini azam wawape waamuzi na matokeo yake wakashinda kwa mizengwe na kupanda ligi kuu. NYANI HAONI KUNDULE! AZAM WAACHE UNAFIKI.

    ReplyDelete
  9. Azam hamna lolote mshaanza kuwa vilaza... na hilo la nani aloanza kushika ingawa bado halionekani vizur lalini ni kosa la kibinadamu hata ktk ligi kubwa huwa yanatokea sana....the problem hapa ni mshaanza vimba kichwa mkidhani you are the best in Soccer la Bongo, tell you what bado mna safari ndefu sana... as mnakumbuka msimu ulopita magumashi yenu na mtibwa mpaka gemu likarudiwa....! Tunategemea mlete Revolution ktk soccer letu lakin frankly sioni improvement kiSoccer but naona improvement katika siasa za kijinga za soka la Bongo.....! We need you to be different sio lawama za kipuuz.

    ReplyDelete
  10. Nianze kwa kusema hawa Azam wanatafuta visingizio na niwashauri wacheze mpira. Pia kuna huyu mtangazaji wa radio one, anitwa Katanga aache unazi aongee mpira. Yule refa hata mimi sikumpenda, alijichanganya kwenye maamuzi mengi ila nashangaa kwa nini hawa watu wanaona yale ya Azam tu?!
    1. hilo goli wanalodai liliokolewa ndani ya nyavu, mbona video haithibitishi? au kwa sababu nyavu zilitikisika? wajue hazikutikiswa na mpira ila Juma Kaseja. Kuna picha inaonyesha kuwa huo mpira haukuvuka mstari.
    2. penalty waliyonyimwa Azam ni kweli ilikuwa halali wapewe, lakini kuna ushahidi gani refa alikuwa akiipendelea simba?
    3. Goli la pili la Azam lilianzia kwa mchezaji wa simba kuchezewa faulo, refa akapeta, ikapigwa ndefu kwa bocco ambaye sina uhakika kama hakuzidi, akatoa pasi ya goli.
    4. hii video haithibitishi kuwa mchezaji wa azam hakushika wakati akimkaba okwi na hata uwanjani ilikuwa ngumu kusema chochote. Ungekubaliana tu na refa.

    5. Video haithibitishi kama Okwi alikuwa offside, sioni tofauti na bocco kabla hajatoa pasi ya goli.

    Kwa kifupi ni visingizio tu na azam ndo mtindo wao siku hizi. Ila huyu Katangfa naye amezidi chuki za wazi kwa Simba. Akumbuke ye ni mtangazaji na sio mshabiki, nonesense!!

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dah mim naomba nitoe ya moyoni kuhusu huyu jamaa OMARY KATANGA wa radio1,
      Huyu jamaa ni mnazi sana wa "wazee a mzungu wa nne" okay hilo sio tatizo... Tatizo ni pale huo unazi wake anauleta katika utangazaji and so anapondaponda hovyo....mbona mwenzie wa kipindi hichohicho cha michezo tunajua kuwa ni mnazi wa "wazee a mzungu wa nne" lakini kwenye media anakuwa nuetral atleast. Kuna siku akawa anaaponda eti kwanin Simba imemsajiri mchezaji na kumpa gari, kwamba wenzake watajisikia vibaya... hajui kuwa kila mchezaji anasajiriwa kwa mkataba wake. Namshauri aache hiyo tabia huo ni ushamba najua kaambukizwa komfo na mwenzake but kesha anzaota mapembe... au anunue kipindi ili awe free kuwa tangazia nduguze

      Delete
  11. Asiye wajua nyie Azam nani....!na ndio marefa huwa wanabondwa katika mechi zenu... Si mnakumbuka kile kichapo toka kwa "Wazee wa mzungu wa nne"

    ReplyDelete