Search This Blog

Thursday, August 9, 2012

SIMBA SC WAENDELEA KURUDISHA KWA JAMII - WATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

Baada ya juzi kwenda kuwatembelea wagonjwa na kutoa misaada kwenye Hospitali ya Mwananyamala, klabu ya Simba leo imeendelea kurudisha kwa jamii baada ya leo kutoa misaada kwa kituo cha watoto yatima Maunga Orphanage Center, kilichopo Kinondoni Hananasif.

1 comment:

  1. Inakuwaje hii!!! Timu ina wachezaji zaidi ya ishirini na tano na viongozi wengi tu. Inakuwaje wanatoa viroba viwili na madumu mawili ya mafuta!!!!!

    ReplyDelete