Search This Blog

Thursday, August 9, 2012

KAULI YA LEO: LUCAS MOURA - MAN UNITED NDIO ILIKUWA CHAGUO LANGU - WALISHINDWA KUMLIPA WAKALA WANGU

"Kama sijahamia Manchester United sio makosa yangu, United walikuwa hawapo radhi kumlipa wakala wangu £6million nje ya ada ya uhamisho, lakini PSG walikuwa radhi kufanya hivyo. Ningekuwa naweza ningeichagua Manchester United lakini wakala wangu amenielekea kwenda PSG, TAFADHALI NAOMBA MSINALAUMU."

Haya ni maneno ya Lucas Moura siku moja baada ya PSG na Sao Paolo kutangaza kukubaliana ada ya uhamisho wa mchezaji huyo.

1 comment:

  1. na ndo hicho kitakachowafanya Man U wamkose RVP

    ReplyDelete