Search This Blog

Friday, August 17, 2012

PICHA 11 ZA RVP AKIWA KWENYE SIKU YA KWANZA YA MAZOEZI NA MAN UTD!











11 comments:

  1. it seems he is very happy with the new club..!

    ReplyDelete
  2. DROGBA ALISHASOMA ALAMA ZA NYAKATI MAPEMA DATS Y AKAKIMBILIA CHINA MAN NDO MSIMU WAKE WA MAAJABU HUU

    ReplyDelete
  3. haya bhana ngoja apotee kwanza huko ndo ataikumbuka gunners

    ReplyDelete
  4. Why dont he be happy anyway? Hiyo ndo ofisi yake jamani, sasa km ukipata kazi ktk kampuni mpya na bado huna furaha kwa nini usibaki kampuni ya zamani?The move is right and it is benefiting both sides: VanP and Arsenal kwani Arsenal wamepata pesa na yeye mshahara mkubwa na mkataba wa muda mrefu pia. WIsh him all the best ila akija Emirates awe na adabu tu kwani soon ataibuka striker mwingine na atapachika mabao tu. Km Adebayo nae alikuwa kinara baada ya kuondoka Thiery basi ht Giroud anaweza kushine na kuwafanya watu wamsahau RVP haraka.

    ReplyDelete
  5. 250k pounds kwa wiki, hata mi ningechekelea na kukenua kila sekunde...

    ReplyDelete
  6. thts the place u wea meant to be 8 yrs back,,its ws a matter of hw soon u supoz to realiz..bt not ur problem madawa ya wenger yalikufunga macho n mind

    ReplyDelete
  7. jamaaa yupo kazini hapo ila jamaa daima yu Arsenal...karibu man utd

    ReplyDelete
  8. IF DONT HAVE ABILITY TO FIGHT THEM YOU BETTER JOIN THEM.ALL THE BEST HAKUNAGA AKA RVP ITS YOUR TIME NOW MAKE IT UP

    ReplyDelete
  9. hii blog inaboa sana nowdays, utadhani ni blog ya man u. kunavilabu vingi sana kwenye ligi maarufu ulaya. Najua Shafii ni Man u lkn tupe raha na wapenzi watimu nyingine. Ushauri tu..........

    ReplyDelete
  10. HE'S SURE WITH HIS SELECTION KEEP IT UP VANPIRE YOU MADE A GOOD CHOICE...

    ReplyDelete