Search This Blog

Friday, August 17, 2012

OFFICIAL: ROBIN VAN PERSIE ATAMBULISHWA RASMI MANCHESTER UNITED ASAINI MIAKA MINNE

Robin van Persie akisaini mkataba wake wa miaka minne wa kujiunga na Manchester United mbele manager wa klabu hiyo Sir Alex Ferguson mchana huu makao makuu ya klabu hiyo jijini Manchester.

1 comment:

  1. Nahisi hii picha inafanana kidogo na ile ya Kleb na ''Mbuyu Twite'' na si kama ile ya Rage na ''Mbuyi Twite'' hahaha hahahah

    ReplyDelete