Search This Blog

Friday, August 3, 2012

MRISHO NGASSA ATAMBULISHWA RASMI SIMBA - AFANYA MAZOEZI KWA MARA YA KWANZA NDANI YA UZI MWEKUNDU

Mchuma mpya aliopewa Ngassa baada ya kusajiliwa na Simba

Mrisho Ngassa akiingia mazoezini

Mashabiki wa Simba wakiwa wanampokea mchezaji wao mpya Mrisho Ngassa

Ngassa ndani uzi mwekundu akiwa na Uhuru Suleiman

Ngassa akipambana na Amri Kiemba




Na jezi yake ile ile namba 16

Wanasimba wakiwa juu ya mawe ya ufukwe wa COCO wakiwaangalia wachezaji wao wakifanya mazoezi

Hapa Ngassa akiwa amezingirwa na mashabiki wa Simba baada ya kufika makao makuu ya klabu hiyo kutambulishwa

Mrisho Ngassa akiwa na uzi wake mpya baada ya kutambulishwa makao makuu ya Simba

Ujumbe kwa uongozi wa Yanga.


Picha zote zimepigwa na Salehe Ally wa GPL

8 comments:

  1. maumivu ya yondani kweli yanawapa shida
    mcpige kelele za ma mamluki mkifungwa

    ReplyDelete
    Replies
    1. Nani wa kutufunga wewe... Nenda zako huko na yeboyebo yenu.

      Delete
  2. Yanga msijidanganye hizo ni hadithi za SIZITAKI MBICHI HIZI. Mnajifanya mna pesa kumbe mnamtegemea manji ambaye pesa zake za mawazo na hadi akapige magoti kwa wakurugenzi wa Quality Group Company,akikataliwa ndiyo hayo matokeo yake. Mkae mkijua Ngassa kaenda njia panda ya kuelekea Ulaya

    ReplyDelete
  3. SASA NAANZA KUJUA KWANN WAZUNGU SOUTH WALIITWA KABURU

    ReplyDelete
  4. HAWA WATU NI WASHAMBA KWELI,NI HUYU HUYU NGASSA TUNAEMJUA LEO KAGEUKA LULU MSIMBAZI?KWELI KIPYA KINYEMI NA WAJINGA NDIYO WALIWAO.GHARAMA WALIZOTUMIA KUMSAJILI NGASSA NI KUBWA KULIKO UWEZO WAKE HALISI UWANJANI,KIWANGO ALICHONACHO SASA NI CHA CHINI KULIKO ALICHOKUWA NACHO MIAKA MITATU ILIYOPITA.KWANGU MIMI EDWARD CHRISTOPHER NDIYE BORA ZAIDI YA NGASSA NA NAWAOMBA VIONGOZI WA YANGA WAMCHUKUE EDWARD

    ReplyDelete
  5. Yanga ya sasa, maneno kidogo vitendo zaidi!!, acha mnyama na lambalamba waendelee kujichanganya na kudanganyana, sisi ni kuwamwagia vumbi tu mbona uwezo wa kuwaliza kila kona tunao!!!. Muda mfupi ujao msimbazi watalia, subirini.

    ReplyDelete
  6. acha ushamba ww? Mpira kazi.,unaleta ushabiki wa kizamani angeenda yanga angekuwa Lulu eeh...ngasa bado ana ubora2..na yupo njiapanda ya Ulaya...mbwiga wee

    ReplyDelete
    Replies
    1. mwacheni huyo mnazi na mahangaiko yake, ngasa naendesha maisha yake kwa kutegemea kipaji chake. sendeu mwenyewe anajua thats y huwa anajikanyaga tu wakati wa kuongea eti "simba wataona kwa kumchukua ngasa... mara simba msilaumu kuhujumiwa.." hakika kwa msemaji wa klabu ni udhaifu mkubwa sana huo.tunaomba wasemaji wa vilabu wasome wawe na weledi. in short shaffii msaidieni sendeu namna ya kuongea na media, ipo siku ataiponza timu yake na kulitia doa soka la tanzania.NINA WASIWASI NA ELIMU YAKE

      Delete