IKIWA UNAMTAKA CRISTIANO RONALDO ITAKUBIDI KULIPA €1 BILLION
Kila mchezaji anayo bei yake, ingawa vilabu vimekuwa vikijaribu kila njia kuweza kukaa na wachezaji wao muhimu, lakini siku zote inakuwa ngumu jambo lililopelekea kuwa zinawawekea vipengele vya beighali ikiwa kuna klabu itakuja kuwataka kuwanunua wakiwa bado kwenye mkataba husika. Kupitia utafiti mdogo uliofanyika tumeweza kugundua na kupata kujua ni wachezaji gani wanaongoza kwa kuwekewa vipengele vya kuuzwa fedha nyingi kuliko wenigne.
No comments:
Post a Comment