Klabu ya Simba leo imetoa hadharani mkataba wake uliosaniwa baina yao - klabu na mchezaji wa kimataifa kutoka Rwanda Mbuyi Twite ambaye muda mchache uliopita amesaini mkataba mwingine wa kujiunga na Yanga.
Kusoma vizuri jaribu ku-double click then maandish yatasomeka kwa ukubwa
Huu mkataba wanasheria wanasema ni NULL & VOID kwa sababu umeshuhudia uongo kuwa umesainiwa tarehe 01/08/2012 wakati Rage amesema alikwenda kusaini mkataba huo Kigali. Suala hili kisheria linaondoa uhalali wa mkataba. NI MTAZAMO TU.
Ha ha ha ha ha, Nilijua lazima utachukua kurasa kadhaa kuliongelea hili na naamini huu ni mwanzo tu,mengi ya kuhusiana na hili yatakuja,well mimi sitaacha kuwa followers wako just because unatoa habari za kinazi kwa interest zako binafsi,nope nitaendelea ksbb yapo mazuri pia ambayo huwa nayapata humu. Sasa coming back to mkataba, kitu kimoja ambacho Rage na wenzake wamechemeka tena katika huo mkataba ni kudanganya sehemu ulipoingiwa mkataba umesema sahihi zimetiwa Dsm wkt kihalisia sahihi zimetiwa Kigali,au ni HUMAN ERROR tena? Ninavyofahamu mimi(pamoja na kutokuwa na elimu ya sheria) kipengele kile "Imetiwa sahihi na.....hapa.....leo tarehe......." huwa kina maana yake kubwa tu na ndo maana hujumuishwa kwenye mikataba yote. Halafu kama Simba wana mkataba intact kama huu kwanini then mnatokwa(including U Brother) na mapovu kiasi hicho?
Shaffih namsapot huyu jamaa hyo tar 1 twte alikua dar au kigali mana imeandikwa mkataba kasain akiwa dar wakati rage anasema mkataba umesainiwa kigali hv rage huwa anavheza na akili za mashabiki wake ni bora wamuulize ule mradi wa kiwanja umeishia wapi mana usajili umemshinda
wewe ni chizi kabisa na inaonekana kama ulizaliwa jalalani. yaani unambishia hata mchezaji mwenyewe aliesema alisaini simba ila anataka kurudisha pesa? chokoraaa wa fery!!
Rage ana haki ya kulia,picha nzuri kama hiyo alafu watu wametembea,tatizo mzee wetu unatukana mamba kabla haujavuka mto,mara Bin Kleb mtoto mdogo sana kwangu,mara walipiga simu akaweka loud speker nipo na bamutu ba simba,chezea yanga wewe?
uyu mbuyu twite anajitafutia amatatizo ktk soka lake sisi km mashabiki wa lunyasi tutamtafuta popote halipo na sijui km atacheza mpira yaani anatuletea ushenzi live kisa amrri imetoka jeshini labda awe analala ikulu tutamfanya kitu km ya ulimboka sisisimba tupo kila amahali km alikuwa ajui
Huu mkataba sidhani kama ni halali kwa sababu zifuatazo 1.Professional player kusaini mkataba ulioandikwa kwa kiswahili sidhani kama huyo mbuyu twite anajua kiswahili vizuri 2.Mkataba una initial moja tu kwa kila page initial ya mchezaji iko wapi? 3.Rage na viongozi wa Simba wanasema walimtuma Rage Rwanda kwenda kukubaliana dau na mchezaji na kuonana na uongozi wa chama cha soka cha Rwanda ili waweze kusaini mkataba na mchezaji,sasa mbona huu mkataba umesainiwa tar 1.08.2012 4.Mkataba wa mchezaji kwa nini uwe na sehemu ya cheo chini ya sehemu ya sahihi na jina? Ni hayo tu,na ni mawazo yangu tu

Shaffih, tunaomba uache unazi wako wa upande wa Simba kama ulivyokuwa ukiponda ktk Sports Round Up ya Clouds FM kwamba Yanga inaendeshwa na watu wenye shida na biashara, ila kumbuka Mwenyeki ni Yusuf Manji na kazi za mwenyekiti zinafahamika na si ufadhili au udhamini kama kipindi cha nyuma. Pia, kumbuka ile incidence ya usajili wa Kevin Yondani. Uliongelea sana ule mkataba wa Yanga kuhusu tofauti ya majina ya "Yondan" na "Yondani" pia ktk tofauti ya umri wa miaka "17" na "28". Na katika kuonyesha upande wako, hujagusia huu mkataba wa Twite, kwani jina ni "Mbuyu Twite" na sio "Mbuyi Twite". THINK TWICE BROTHER.
kwani alikuambia hajasaini? yeye kasema anarudisha hela ya simba wewe unatuletea mkataba wa kazi gani hapa? wewe kama mwandishi ulipaswa kumuuliza kwa nini anarudisha hela za simba na sio kutuletea mkataba hapa
Fine Rage anaweza kuwa amechemka on other hand! Lakini watu Yanga hili mlilolifanya wala sio ushujaa wa kusifia hivyo! Najua hata watu wa Simba wangefanya kitu kama hiki nao wangejisifia na kuwacheka Yanga, lakini mi napenda kuwaaambia kwamba hatujengi kwa jinsi hii ya ushabiki! Soka lazima lichezwe kwenye misingi ya haki, kutoka moyoni sikupenda hichi kitendo hata kama wangefanya Simba, despite ya makosa madogo ambayo Simba labda wamekosea lakini haikuwa na ulazimu Yanga kumfuata mchezaji yule wakati Simba tayari wameanza kutia makono! Ujanja ujanja una mwisho wake, by any means Yanga wamesajili mchezaji ambaye tayari Simba wameshamsajili whether wamekosea au lah! Haya mambo tuna ya entertain sasa hv ipo siku yatakuja kutucost! Binafsi sidhani hata kama Simba wangefanya usajili wa namna hii wangestahili pongezi kama hizi wanazopewa cjui 'umafia', Ikumbukwe kwamba viongozi wanapata hz sifa na wanadhani ndio mpira unapaswa kuendeshwa hvyo, which is not true! Kwa mambo kama haya Yanga walimchezesha Cannavaro wakati akiwa na kadi na ikachukuliwa poa tu, lakini chanzo ni sisi washabiki tunatakiwa tuwe wakali na hizi siasa kwa sababu mwisho wa siku sisi ndio tunaoumia! Leo Yanga wanajua kabisa wamefanya foul kwa hili ila wanacheka coz imetokea kwa Simba just for the matter of rival, ipo siku huyu mtu atafanya foul nyingine just for the sake of upinzani halafu itafail, lawama zitakuwa kwake kwamba hafai lakini sasa hv inaonekana poa! Whether angefanya Simba au Yanga, it was unnecessary deal as per situation!
Ni juzi tu Lucas Moura kaikacha Man U kwa sababu ya hela ya PSG, na ilishatokea kwa wachezaji wengine weengi, elewa Mbuyi alikuwa sokoni, kila timu ilikuwa inajaribu kuongea naye, simba walipokubaliana naye walitamba sana na kutukana viongozi wa yanga na kujidai wao wana jeuri ya pesa, kumbe hawana hela wana vijisenti, wenye fwedha wamefanya vitu vyao. Mlipomghiribu Ngasa ilikuwa powa sio??
Fine Rage anaweza kuwa amechemka on other hand! Lakini watu Yanga hili mlilolifanya wala sio ushujaa wa kusifia hivyo! Najua hata watu wa Simba wangefanya kitu kama hiki nao wangejisifia na kuwacheka Yanga, lakini mi napenda kuwaaambia kwamba hatujengi kwa jinsi hii ya ushabiki! Soka lazima lichezwe kwenye misingi ya haki, kutoka moyoni sikupenda hichi kitendo hata kama wangefanya Simba, despite ya makosa madogo ambayo Simba labda wamekosea lakini haikuwa na ulazimu Yanga kumfuata mchezaji yule wakati Simba tayari wameanza kutia makono! Ujanja ujanja una mwisho wake, by any means Yanga wamesajili mchezaji ambaye tayari Simba wameshamsajili whether wamekosea au lah! Haya mambo tuna ya entertain sasa hv ipo siku yatakuja kutucost! Binafsi sidhani hata kama Simba wangefanya usajili wa namna hii wangestahili pongezi kama hizi wanazopewa cjui 'umafia', Ikumbukwe kwamba viongozi wanapata hz sifa na wanadhani ndio mpira unapaswa kuendeshwa hvyo, which is not true! Kwa mambo kama haya Yanga walimchezesha Cannavaro wakati akiwa na kadi na ikachukuliwa poa tu, lakini chanzo ni sisi washabiki tunatakiwa tuwe wakali na hizi siasa kwa sababu mwisho wa siku sisi ndio tunaoumia! Leo Yanga wanajua kabisa wamefanya foul kwa hili ila wanacheka coz imetokea kwa Simba just for the matter of rival, ipo siku huyu mtu atafanya foul nyingine just for the sake of upinzani halafu itafail, lawama zitakuwa kwake kwamba hafai lakini sasa hv inaonekana poa! Whether angefanya Simba au Yanga, it was unnecessary deal as per situation!
cdhani kama Twite atacheza bongo kwa upuuzi huu,usalama wake utakua very minimal.Simba wamepata beki mzuri zaidi mkenya namfaham vzuri huyo jamaa,wa,wachie tuu mbuyu,then mpira uwanjani
Jaman mi sielewi kwann mnaanza kumshutumu Shafii, mi ni yanga damu, kichwani yanga moyoni yanga, and nasifu juhudi za Yanga wanavyoijenga timu yetu, big up bin cleb, manji na wote, Alichokifanya hapa Shafii ni kutaka kuuleta MKATABA wa RAGE na MBUYU ili sisi tuuone na tuweze kujua mbichi na mbivu tene kwa kiroho safi kabisa wala sio unazi au vinginevyo, mbona kipindi cha ngassa alikuwa against simba na azam au mtasema alikuwa hamtaki Ngassa simba?, angekuwa mnazi angekuwa anawa'back up simba kwa kila kitu na kuwaponda yanga kwa kila kitu, tusikariri na kuishi kwa historia za kale ambazo pia zaweza tengenezwa..., ANYWAY tukirudi kwenye mkataba tutaona kwamba RAGE anataka kuleta yale maneno ya UPEMBUZI YAKINIFU na UUNDAJI WA TUME, but hapa hakuna MWONGOZO wala TAARIFA kinachotakiwa hapa ni REALISTIC and nothing else like POLITICS, RAGE anajua anachokifanya na ameshafanikiwa kuwalaghai washabiki wa simba, yani huo mkataba ni feki hata lawyer aliyesomea VETA asingeweza kuupitisha, hapa simba msitafute mchawi wakati mchawi mnaye ndani, BIG UP CLEB and BIG UP YANGA, poor for RAGE..Bora KADUGUDA hahahahahahahaha
You are right Mdau,pengine Viongozi wa Yanga wanaweza kulaumiwa kwa upande fulani lkn kwa hakika kabisa waliyosababisha hali hii ni Simba wenyewe,Bro(Shaffih) hapa alituwekea post ikimnukuu Msemaji(ovyo) wa Simba Kaka yangu Ezekiel Kamwaga sijui Kimwaga akitiririsha tambo kibao ooh mara saa 4 kamili Kaburu na HansPop wakimalizana na Ngassa Dar Rage alikuwa akimalizana na Twite Kigali mara Simu ikaingia wakati wakipata Kahawa(katikati ya mfungo) Binkleb akimuulizia Twite na bla-bla nyingine nyingi tu akamalizia kwa kusema hizo ni 2-0 Yanga imefungwa. Kama hiyo haitoshi Mwenyekiti wake aiporudi na hayo makaratas yake ya photocopy ambayo Bro ametuwekea hapa na yeye akaongezea kashfa lukuki,jambo lililoamsha hasira za Mpiganaji wa Yanga Binkleb ambaye aliamua kuyafanyia kazi makosa ya Mh Mwenyekiti...sasa katika hali hii pamoja na Simba kuona kuwa hawatendewa haki nafikiri kutotendewa haki huku(kama kupo) wamekusababisha wenyewe.
jaman to be honest viongozi wa yanga inabidi wabadilike manake wao 2litegemea wamekuja kuleta mabadiliko na si kushindana na hao simba.hizo milion 75 4sure zingelipa mishahara kwa miezi hata mitatu wao wanampa m2 mmoja that is not fair kwakweli.
NINA UHAKIKA SHABIKI YEYOTE WA YANGA ANAE-COMMENT HAPO JUU KINAZI ANA NDOTO ZA KURUDISHA ZILE NGUMI(GOAL TANO)....... ILA MKUMBUKE KUWA SIMBA NI SIMBA NA ITABAKI KUWA SIMBA.... VILE VIDOLE VITANO ALIVYOWAPUNGIA MAFISANGO BAADA YA LILE GOAL LA KIHISTORIA(TANO)..... VINAWATESA MPAKA LEO....SIWEZI KUZUNGUMZIA USAJILI WENU KIVYOVYOTE KWA SABABU HAUNAGA MANTIKI...MNAWAKUMBUKA AKINA MWALALA, SUNGUTI,ASAMOAH, MWAPE, OWINO E.T.C... KUMBUKENI KUWA KWA KAMA MUONGO MMOJA ULIOPITA MMECHEZEA VIPIGO VIKUBWA VIKUBWA MKIWA NA WACHEZAJI MAHIRI HAO NA WENGINEO.... RESPECT KWA AKINA GABRIEL, MACHUPA, ULIMBOKA, BOBAN, MGOSI, KASEJA NA MAJEMBE MENGINE KAMA KAZIMOTO NA OKWI........ YANGA LOOL!!!!!!!!!! WHAT LOOSERS NAJUA KINAWAUMA SANA...ENDELEENI NA UHUNI ILA MTAENDELEA KUINGIA VYOO VYA KIKE NA SIMBA ITAWAPIGA NYAYA KAMA KAWA HAA HAAA HAAAAA....BOOOOOOOOOOO YANGA
mbona unaenda mbali bro kuwataja wakina sunguti wakati juzi tu hapa 2likuwa na mheshima papa mpiga guitar lino musombo,gervinho na mrwanda au hao wameprove their ability?
hakika ushabiki umekumaliza!!!!!!!!!!!!!!!! angalia madudu ya viongozi wako kabla hujazungumzia lile igizo la tano bila. nini mantiki ya kumleta okwi kwa gharam kwenye tamasha la simba day? kuwalaghai mashabiki? vip akina kago, deriki walulya? wapi lino msombo na papaa kanu? mamilioni mangapi yametumika kuwaleta kuwapamikataba na kuvuja mikataba yao? ndugu wajua huku simba ikiwasomba watalii akufwo na ochieng na wamali na wa ivory cost walio njiani TFF wametamka nini kuhusu mwisho wa usajili wa wachezaji wa kigeni? broo ni tarehe 10augosti upo hapooo!!!!!!!!!! kituko kingine hicho chala simba semeni tena unaonewa na TFF inawabeba YANGA. waikumbuka filamu ya 5-0 ilivyoisha? katika ile filamu ya upande mmoja unadhani ingekuwa rahisi kwa bg match kama ile yanga kukubali penalt 3? kwa uungwana upi? ni kwenye igizo tu hali kama hiyo hutokea. soo my ndugu endeleeni kushangilia filam ya 5-0 bila huku mkisahau kipigo cha 3-0 kati ya timu ya simba na BOKO huku wenzenu wakijipanga na nyie kubakia na kombe la ujirani mwema na super ulaji 8 cup.kabla sijakumalizia mwisho wa filamu ya 5-0 tukutane kwenye ligi my ndugu.................................
NAPENDA KUCHUKUA FURSA HII KUMKUMBUSHA RAGE KUWA SHERIA NI MSUMENO HUKATA HUKU NA HUKU LEO INAKUWAJE ANAPIGA KELELE AKIDAI KUWA MBUYE NI TAPELI NA AMEJIPATIA HELA KWA NJIA YA UDANGANYIFU HUKU AKIWA HAJAMALIZA ISSUE YA REDONDO? MPAKA SASA REDONDO AMECHUKUA FEDHA YA USAJILI YA SIMBA M 30 HUKU KUTOKANA NA MITANDAO MBALIMBALI KUKIELEZEWA KUWA SIMBA WANAHAHA KUMALIZANA NA AZAM ILI IWAUZIE RODONDO JE MBONA HAWSEMI WATAMSHITAKI REDONDO IKIBAINIKA KUWA AMEFANYA UTAPELI NA KUJIPATIA FEDHA ISIVYO HALALI BADALA YAKE WANAHAHA KUMALIZANA NA AZAMU? PILI SIMBA HAO HAO WATANGAZA KUMSAJILI JEBA NA KUMTUMIA KWENYE ZIARA WALIYOFANYA MIKOA YA MWANZA NA SHINYANGA JE WANATAKA KUTUAMBIA JEBA HAKUCHUKUA FEDHA KUTOKA SIMBA HUKU AKIWA NA MKATABA NA AZAMU? JE HUO HAUKUWA UTAPELI? KWANINI IWE KWA MBUYE TU ? JE NINI UTAPELI WA MBUYE ILIHALI VIONGOZI WA SIMBA WAMEKARIRIWA AKIDAI HAWATAKI KUPOKEA FEDHA ZAO ZILIZORUDISHWA NA MBUYE TENA KWA KUPITIA KWA WATU WA CLUB ZA APR NA LUMPOPO? TANGU LINI TAPELI AKARUDISHA FEDHA? HAPO SIMBA WAMECHEMKA NA NI BORA WATUMIE NENO JINGINE KATIKA HILI BADALA YA LILE LA UTAPELI. TATU VIONGOZI WA SIMBA NA WASHABIKI WAO WANAPIGA KELE KUWA WAMEINGILIWA NA YANGA MKATIKA USAJILI WA MBUYE HEBU TUJIKUMBUSHE SIKU SIMBA ILIPORIPOTIWA KUMNASA MBUYE ILITANGAZWA NA KUANDIKWA RAGE ASHINDA VITA YA SAA NANE KIGALI MENGINE RAGE AMGALAGAZA BINKLEB KIGALI! KWA MANTIKI HIYO INAONYESHA KULIKUWEPO NA USHINDANI WA KUWANIA KUMSAJILI MCHEZAJI HUYU TANGU MWANZO IWEJE LEO HITIMISHO LA YANGA KUFUATA TARATIBU NA KISHA KUFANIKIWA KIMNASA KIHALALI MCHEZAJI IONEKANE KOSA NA YULE ALIYETUMIA NJIA ZAMKATO NA HARAMU AONE ANAONEWA? JE NI NANI ANA MAKOSA KATI YA ANGA ILIYOCHELEWA KUPATA SAINI KWA KUFUATA TARATIBU NA SIMBA ILIYOWAHI KUPATA SAINI KWA KUTUMIA NJIA HARAMU? NI KWELI TUNAVIPENDA VILABU VYETU LAKINI USHABIKI USITUFANYE TUSHABIKIE MADUDU YANAYOFANYWA NA VIONGOZI WA VILABU VYETU? YAPO MADUDU MNGI YANAYOFANYWA NA VIONGOZI WA SIMBA NYUMA YAO WAKISHANGILIWA NA MASHABIKINA VYOMBO VYA HABARI VINAVYOTAKA KUUZA MAGAZETI YAO MFANO SUALA LA USAJILI WA AKINA MUSOMBO, KINJE, MUDEE, KANU NA MRWANDA JE NI MSHABIKI GANI WA SIMBS=A AMBAYE HAKUTAMBIA UBORA WA WACHEZAJI HAO? NANI ASIYEYAJUA MAPENZI YA NGASA KWA NYANGA? VIPI LEO MCHEZAJI ANAYEUZWA NA TIMU YAKE INAYOTAMBUA UWEZO MKUBWA NA MCHANGO WAKE KWAKUWA TU NI YANGA DAMU ANANUNULIWA NA SIMBA KWA MBWEMWE JE NI AKILI HIYO? NANI ASIYEUJUA MCHEZO ULIOCHEZWA NA SIMBA KUMPATA NGASA? JE SIMBA WAMESAHAU YANGA WALIKUWA WA KWANZA KUTANGAZA KUMTAKA MRWANDA NA BAADAE SIMBA KUIPIGA BAO YANGA NA KUMSAJILI? JE HAWAKUWA MENO NJE SIKU ILE MAGAZETI YALIVPOANDIKA SIMBA YAIPIGA BAO YANGA KWA MRWANDA NA KIGI? VIPI YANGA WALIPOTANGAZA KUMSAJILI MGOSI NA NYOSO SIMBA WALIFANYA NINI? NAO HAWAKUMTAKA MGOSI? NAKUMBUKA PIA BOBANI ALIPOVUNJA MKATABA NA TIMU MOJA HUKO SWEDEN YANGA NDIO WALIKUWA WA KWANZA KUTANGAZA KUMTAKA NA HATIMAYE SIMBA KUINGILIA KATI NA KUMNYAKUA BOBANI! VIPI YALE YA ASAMOH, BARASA NA VICTOR COASTER? KWA HILI SIMBA KUWENI TU WAPOLE.
Huu mkataba wanasheria wanasema ni NULL & VOID kwa sababu umeshuhudia uongo kuwa umesainiwa tarehe 01/08/2012 wakati Rage amesema alikwenda kusaini mkataba huo Kigali. Suala hili kisheria linaondoa uhalali wa mkataba. NI MTAZAMO TU.
ReplyDeleteHa ha ha ha ha,
ReplyDeleteNilijua lazima utachukua kurasa kadhaa kuliongelea hili na naamini huu ni mwanzo tu,mengi ya kuhusiana na hili yatakuja,well mimi sitaacha kuwa followers wako just because unatoa habari za kinazi kwa interest zako binafsi,nope nitaendelea ksbb yapo mazuri pia ambayo huwa nayapata humu.
Sasa coming back to mkataba, kitu kimoja ambacho Rage na wenzake wamechemeka tena katika huo mkataba ni kudanganya sehemu ulipoingiwa mkataba umesema sahihi zimetiwa Dsm wkt kihalisia sahihi zimetiwa Kigali,au ni HUMAN ERROR tena?
Ninavyofahamu mimi(pamoja na kutokuwa na elimu ya sheria) kipengele kile "Imetiwa sahihi na.....hapa.....leo tarehe......." huwa kina maana yake kubwa tu na ndo maana hujumuishwa kwenye mikataba yote.
Halafu kama Simba wana mkataba intact kama huu kwanini then mnatokwa(including U Brother) na mapovu kiasi hicho?
SIMBA TUMEROGWAAA!! HUYU ANAITWA MBUYU SIO 'MBUYI' !!! MKATABA MBONA HAUPO SAWAAA!!.... ELIMU MUHIMU JAMANI... AMEWAZIDI VIPI BIN KLEB ??.... RAGE JIUZULU TUWACHIE TIMU YETU...
ReplyDeleteShaffih namsapot huyu jamaa hyo tar 1 twte alikua dar au kigali mana imeandikwa mkataba kasain akiwa dar wakati rage anasema mkataba umesainiwa kigali hv rage huwa anavheza na akili za mashabiki wake ni bora wamuulize ule mradi wa kiwanja umeishia wapi mana usajili umemshinda
ReplyDeletewewe ni chizi kabisa na inaonekana kama ulizaliwa jalalani. yaani unambishia hata mchezaji mwenyewe aliesema alisaini simba ila anataka kurudisha pesa? chokoraaa wa fery!!
ReplyDeleteKwa kuwa mkataba unaonyesha wazi ulisainiwa Dar na si Kigali,ni picha gani tunapata hapo? Kenny
ReplyDeleteRage ana haki ya kulia,picha nzuri kama hiyo alafu watu wametembea,tatizo mzee wetu unatukana mamba kabla haujavuka mto,mara Bin Kleb mtoto mdogo sana kwangu,mara walipiga simu akaweka loud speker nipo na bamutu ba simba,chezea yanga wewe?
ReplyDeleteuyu mbuyu twite anajitafutia amatatizo ktk soka lake sisi km mashabiki wa lunyasi tutamtafuta popote halipo na sijui km atacheza mpira yaani anatuletea ushenzi live kisa amrri imetoka jeshini labda awe analala ikulu tutamfanya kitu km ya ulimboka sisisimba tupo kila amahali km alikuwa ajui
ReplyDeleteSimba wamepigwa chenga na sheria za usajiri.
ReplyDeleteNi undava wa Azam kwa Mrisho Ngassa vinginevyo Mrisho alikuwa na hata haki ya kugoma kuichezea Simba.
Mzee mshamba huyu! halafu hajui kuwa Yanga ni timu kubwa. Watukane akina Maganga huko Azam. Huyu Kleb kwel ni mafia! safi sana.
ReplyDeleteHuu mkataba sidhani kama ni halali kwa sababu zifuatazo
ReplyDelete1.Professional player kusaini mkataba ulioandikwa kwa kiswahili sidhani kama huyo mbuyu twite anajua kiswahili vizuri
2.Mkataba una initial moja tu kwa kila page initial ya mchezaji iko wapi?
3.Rage na viongozi wa Simba wanasema walimtuma Rage Rwanda kwenda kukubaliana dau na mchezaji na kuonana na uongozi wa chama cha soka cha Rwanda ili waweze kusaini mkataba na mchezaji,sasa mbona huu mkataba umesainiwa tar 1.08.2012
4.Mkataba wa mchezaji kwa nini uwe na sehemu ya cheo chini ya sehemu ya sahihi na jina?
Ni hayo tu,na ni mawazo yangu tu
Huu mkataba sidhani kama ni halali kwa sababu zifuatazo

Shaffih, tunaomba uache unazi wako wa upande wa Simba kama ulivyokuwa ukiponda ktk Sports Round Up ya Clouds FM kwamba Yanga inaendeshwa na watu wenye shida na biashara, ila kumbuka Mwenyeki ni Yusuf Manji na kazi za mwenyekiti zinafahamika na si ufadhili au udhamini kama kipindi cha nyuma.
ReplyDeletePia, kumbuka ile incidence ya usajili wa Kevin Yondani. Uliongelea sana ule mkataba wa Yanga kuhusu tofauti ya majina ya "Yondan" na "Yondani" pia ktk tofauti ya umri wa miaka "17" na "28".
Na katika kuonyesha upande wako, hujagusia huu mkataba wa Twite, kwani jina ni "Mbuyu Twite" na sio "Mbuyi Twite".
THINK TWICE BROTHER.
kwani alikuambia hajasaini? yeye kasema anarudisha hela ya simba wewe unatuletea mkataba wa kazi gani hapa? wewe kama mwandishi ulipaswa kumuuliza kwa nini anarudisha hela za simba na sio kutuletea mkataba hapa
ReplyDeleteFine Rage anaweza kuwa amechemka on other hand! Lakini watu Yanga hili mlilolifanya wala sio ushujaa wa kusifia hivyo! Najua hata watu wa Simba wangefanya kitu kama hiki nao wangejisifia na kuwacheka Yanga, lakini mi napenda kuwaaambia kwamba hatujengi kwa jinsi hii ya ushabiki! Soka lazima lichezwe kwenye misingi ya haki, kutoka moyoni sikupenda hichi kitendo hata kama wangefanya Simba, despite ya makosa madogo ambayo Simba labda wamekosea lakini haikuwa na ulazimu Yanga kumfuata mchezaji yule wakati Simba tayari wameanza kutia makono! Ujanja ujanja una mwisho wake, by any means Yanga wamesajili mchezaji ambaye tayari Simba wameshamsajili whether wamekosea au lah! Haya mambo tuna ya entertain sasa hv ipo siku yatakuja kutucost! Binafsi sidhani hata kama Simba wangefanya usajili wa namna hii wangestahili pongezi kama hizi wanazopewa cjui 'umafia', Ikumbukwe kwamba viongozi wanapata hz sifa na wanadhani ndio mpira unapaswa kuendeshwa hvyo, which is not true! Kwa mambo kama haya Yanga walimchezesha Cannavaro wakati akiwa na kadi na ikachukuliwa poa tu, lakini chanzo ni sisi washabiki tunatakiwa tuwe wakali na hizi siasa kwa sababu mwisho wa siku sisi ndio tunaoumia! Leo Yanga wanajua kabisa wamefanya foul kwa hili ila wanacheka coz imetokea kwa Simba just for the matter of rival, ipo siku huyu mtu atafanya foul nyingine just for the sake of upinzani halafu itafail, lawama zitakuwa kwake kwamba hafai lakini sasa hv inaonekana poa! Whether angefanya Simba au Yanga, it was unnecessary deal as per situation!
ReplyDeleteNi juzi tu Lucas Moura kaikacha Man U kwa sababu ya hela ya PSG, na ilishatokea kwa wachezaji wengine weengi, elewa Mbuyi alikuwa sokoni, kila timu ilikuwa inajaribu kuongea naye, simba walipokubaliana naye walitamba sana na kutukana viongozi wa yanga na kujidai wao wana jeuri ya pesa, kumbe hawana hela wana vijisenti, wenye fwedha wamefanya vitu vyao. Mlipomghiribu Ngasa ilikuwa powa sio??
DeleteFine Rage anaweza kuwa amechemka on other hand! Lakini watu Yanga hili mlilolifanya wala sio ushujaa wa kusifia hivyo! Najua hata watu wa Simba wangefanya kitu kama hiki nao wangejisifia na kuwacheka Yanga, lakini mi napenda kuwaaambia kwamba hatujengi kwa jinsi hii ya ushabiki! Soka lazima lichezwe kwenye misingi ya haki, kutoka moyoni sikupenda hichi kitendo hata kama wangefanya Simba, despite ya makosa madogo ambayo Simba labda wamekosea lakini haikuwa na ulazimu Yanga kumfuata mchezaji yule wakati Simba tayari wameanza kutia makono! Ujanja ujanja una mwisho wake, by any means Yanga wamesajili mchezaji ambaye tayari Simba wameshamsajili whether wamekosea au lah! Haya mambo tuna ya entertain sasa hv ipo siku yatakuja kutucost! Binafsi sidhani hata kama Simba wangefanya usajili wa namna hii wangestahili pongezi kama hizi wanazopewa cjui 'umafia', Ikumbukwe kwamba viongozi wanapata hz sifa na wanadhani ndio mpira unapaswa kuendeshwa hvyo, which is not true! Kwa mambo kama haya Yanga walimchezesha Cannavaro wakati akiwa na kadi na ikachukuliwa poa tu, lakini chanzo ni sisi washabiki tunatakiwa tuwe wakali na hizi siasa kwa sababu mwisho wa siku sisi ndio tunaoumia! Leo Yanga wanajua kabisa wamefanya foul kwa hili ila wanacheka coz imetokea kwa Simba just for the matter of rival, ipo siku huyu mtu atafanya foul nyingine just for the sake of upinzani halafu itafail, lawama zitakuwa kwake kwamba hafai lakini sasa hv inaonekana poa! Whether angefanya Simba au Yanga, it was unnecessary deal as per situation!
ReplyDeletewe unaemtisha mbuyu huna akili!kaoshe vyombo!we unajua maana ya maneno uliyotamka?inaonekana pia tatizo la upeo wako mdogo!
ReplyDeleteKama mtangazaji akipenda kupiga nyimbo anazozipenda bibasfi ...kipindi hicho hakito pendwa nawasilizaji
ReplyDeletecdhani kama Twite atacheza bongo kwa upuuzi huu,usalama wake utakua very minimal.Simba wamepata beki mzuri zaidi mkenya namfaham vzuri huyo jamaa,wa,wachie tuu mbuyu,then mpira uwanjani
ReplyDeleteJaman mi sielewi kwann mnaanza kumshutumu Shafii, mi ni yanga damu, kichwani yanga moyoni yanga, and nasifu juhudi za Yanga wanavyoijenga timu yetu, big up bin cleb, manji na wote, Alichokifanya hapa Shafii ni kutaka kuuleta MKATABA wa RAGE na MBUYU ili sisi tuuone na tuweze kujua mbichi na mbivu tene kwa kiroho safi kabisa wala sio unazi au vinginevyo, mbona kipindi cha ngassa alikuwa against simba na azam au mtasema alikuwa hamtaki Ngassa simba?, angekuwa mnazi angekuwa anawa'back up simba kwa kila kitu na kuwaponda yanga kwa kila kitu, tusikariri na kuishi kwa historia za kale ambazo pia zaweza tengenezwa..., ANYWAY tukirudi kwenye mkataba tutaona kwamba RAGE anataka kuleta yale maneno ya UPEMBUZI YAKINIFU na UUNDAJI WA TUME, but hapa hakuna MWONGOZO wala TAARIFA kinachotakiwa hapa ni REALISTIC and nothing else like POLITICS, RAGE anajua anachokifanya na ameshafanikiwa kuwalaghai washabiki wa simba, yani huo mkataba ni feki hata lawyer aliyesomea VETA asingeweza kuupitisha, hapa simba msitafute mchawi wakati mchawi mnaye ndani, BIG UP CLEB and BIG UP YANGA, poor for RAGE..Bora KADUGUDA hahahahahahahaha
ReplyDeleteYou are right Mdau,pengine Viongozi wa Yanga wanaweza kulaumiwa kwa upande fulani lkn kwa hakika kabisa waliyosababisha hali hii ni Simba wenyewe,Bro(Shaffih) hapa alituwekea post ikimnukuu Msemaji(ovyo) wa Simba Kaka yangu Ezekiel Kamwaga sijui Kimwaga akitiririsha tambo kibao ooh mara saa 4 kamili Kaburu na HansPop wakimalizana na Ngassa Dar Rage alikuwa akimalizana na Twite Kigali mara Simu ikaingia wakati wakipata Kahawa(katikati ya mfungo) Binkleb akimuulizia Twite na bla-bla nyingine nyingi tu akamalizia kwa kusema hizo ni 2-0 Yanga imefungwa.
ReplyDeleteKama hiyo haitoshi Mwenyekiti wake aiporudi na hayo makaratas yake ya photocopy ambayo Bro ametuwekea hapa na yeye akaongezea kashfa lukuki,jambo lililoamsha hasira za Mpiganaji wa Yanga Binkleb ambaye aliamua kuyafanyia kazi makosa ya Mh Mwenyekiti...sasa katika hali hii pamoja na Simba kuona kuwa hawatendewa haki nafikiri kutotendewa haki huku(kama kupo) wamekusababisha wenyewe.
jaman to be honest viongozi wa yanga inabidi wabadilike manake wao 2litegemea wamekuja kuleta mabadiliko na si kushindana na hao simba.hizo milion 75 4sure zingelipa mishahara kwa miezi hata mitatu wao wanampa m2 mmoja that is not fair kwakweli.
DeleteNINA UHAKIKA SHABIKI YEYOTE WA YANGA ANAE-COMMENT HAPO JUU KINAZI ANA NDOTO ZA KURUDISHA ZILE NGUMI(GOAL TANO)....... ILA MKUMBUKE KUWA SIMBA NI SIMBA NA ITABAKI KUWA SIMBA.... VILE VIDOLE VITANO ALIVYOWAPUNGIA MAFISANGO BAADA YA LILE GOAL LA KIHISTORIA(TANO)..... VINAWATESA MPAKA LEO....SIWEZI KUZUNGUMZIA USAJILI WENU KIVYOVYOTE KWA SABABU HAUNAGA MANTIKI...MNAWAKUMBUKA AKINA MWALALA, SUNGUTI,ASAMOAH, MWAPE, OWINO E.T.C... KUMBUKENI KUWA KWA KAMA MUONGO MMOJA ULIOPITA MMECHEZEA VIPIGO VIKUBWA VIKUBWA MKIWA NA WACHEZAJI MAHIRI HAO NA WENGINEO.... RESPECT KWA AKINA GABRIEL, MACHUPA, ULIMBOKA, BOBAN, MGOSI, KASEJA NA MAJEMBE MENGINE KAMA KAZIMOTO NA OKWI........ YANGA LOOL!!!!!!!!!! WHAT LOOSERS NAJUA KINAWAUMA SANA...ENDELEENI NA UHUNI ILA MTAENDELEA KUINGIA VYOO VYA KIKE NA SIMBA ITAWAPIGA NYAYA KAMA KAWA HAA HAAA HAAAAA....BOOOOOOOOOOO YANGA
ReplyDeletembona unaenda mbali bro kuwataja wakina sunguti wakati juzi tu hapa 2likuwa na mheshima papa mpiga guitar lino musombo,gervinho na mrwanda au hao wameprove their ability?
Deletehakika ushabiki umekumaliza!!!!!!!!!!!!!!!! angalia madudu ya viongozi wako kabla hujazungumzia lile igizo la tano bila. nini mantiki ya kumleta okwi kwa gharam kwenye tamasha la simba day? kuwalaghai mashabiki? vip akina kago, deriki walulya? wapi lino msombo na papaa kanu? mamilioni mangapi yametumika kuwaleta kuwapamikataba na kuvuja mikataba yao? ndugu wajua huku simba ikiwasomba watalii akufwo na ochieng na wamali na wa ivory cost walio njiani TFF wametamka nini kuhusu mwisho wa usajili wa wachezaji wa kigeni? broo ni tarehe 10augosti upo hapooo!!!!!!!!!! kituko kingine hicho chala simba semeni tena unaonewa na TFF inawabeba YANGA.
Deletewaikumbuka filamu ya 5-0 ilivyoisha? katika ile filamu ya upande mmoja unadhani ingekuwa rahisi kwa bg match kama ile yanga kukubali penalt 3? kwa uungwana upi? ni kwenye igizo tu hali kama hiyo hutokea. soo my ndugu endeleeni kushangilia filam ya 5-0 bila huku mkisahau kipigo cha 3-0 kati ya timu ya simba na BOKO huku wenzenu wakijipanga na nyie kubakia na kombe la ujirani mwema na super ulaji 8 cup.kabla sijakumalizia mwisho wa filamu ya 5-0 tukutane kwenye ligi my ndugu.................................

ReplyDelete