| Kila kona ya Musoma leo ni Fiesta tu - Homa imepanda kila mahala, wasanii wameshaningia na muda wowote kutoka sasa intaanza. Bhaaaaaaaasi |
| Hadi watoto wamepandwa na homa ya Fiesta |
| Shaffih Dauda nikiwa namashabiki wa Fiesta tukipata picha ya pamoja |
| Fiesta 2012 - Muonekano mpya Burudani ile ile |

No comments:
Post a Comment