Search This Blog

Sunday, July 22, 2012

YANGA DHIDI YA MAFUNZO - SIMBA NA ZAM KUKUMBUSHIA URAFIKI CUP ROBO FAINALI KAGAME



 YANGA VS MAFUNZO - JUMATATU JULAI 23
URA VS APR


JUMANNE - JULAI 24
SIMBA VS AZAM
ATLETICO VS AS VITA

6 comments:

  1. Safari hii Simba wana kibarua kigumu kwani Azamu hawata kubali tena wawe wateja wao wa mara kwa mara.

    ReplyDelete
  2. Hata Simba hawatakubali Azam wafute uteja....kwahiyo tafsiri ni kuwa mechi itakuwa ngumu na ni vigumu kumtabiri mshindi. Ukisema Azam hatakubali tena kuwa mteja, maana yake ni kuwa Simba atafungwa, kitu ambacho ni ngumu kubashiri.

    ReplyDelete
  3. Asante Shafii kwa ratiba ya Robo Fainali, nimeingia hadi web ya Cecafa lakini hakuna kitu, hivi hawa wana habari au secretary anafanya kazi gani?

    ReplyDelete
  4. Azam ni timu nzuri ila kw SIMBA lazma itafungw 2 kwa njia yeyote! 2taona J4

    ReplyDelete
  5. Mechi itakua ngumu,lolote linaweza kutokea.

    ReplyDelete
  6. Hata Mimi navyoiangalia mechi ile itakuwa ngumu sana ukizingatia azamu walikosa ubingwa wa urafiki mbele ya simba,ila kunatimu italala kwa bao Moja bila, kwa ipande wa simba bado pengo la okwi liko wazi.

    ReplyDelete