Search This Blog

Friday, July 6, 2012

HII NDIO SIRI YA MAFANIKIO YA BARCELONA : TIMU YA WATOTO WA MIAKA 11 INAVYOKIPUTA

2 comments:

  1. Hii inatakiwa iwe kama fundisho kwetu, timu za vijana zinatakiwa zipewe kipaombele... Sio yale ya kupeleka timu Znz halafu yatimuliwa. Nimemuona huyo dogo jezi namba 10 uwezo wake utakuja kumzidi hata Messi..
    Bocco wa Tanga

    ReplyDelete
  2. Nadhani huu ndiyo mfumo tunaouhitaji. Sijui kama viongozi wetu na wadau wa soka wanajifunza au ni kushangilia tu mafanikio ya wenzetu

    Panda

    ReplyDelete