Search This Blog

Friday, June 1, 2012

HARUNA MOSHI ' BOBAN ' : CHEMSHA BONGO


Kiungo Haruna Moshi ' Boban ' hakusafiri kwenda nchini Ivory Coast na kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania kwa sababu ipi kati ya hizi mbili?

A. Kutokana na kuwa majeruhi.

B. Kutokana na kukosa Passport.

9 comments:

  1. Hana p.port ndio maana hata kinshasa. Alipata tabu pale airport. Alikuwa anatumia passport ya Kuingia katika nchi za East africa

    ReplyDelete
  2. he he hapo jibu wanalo tff kaka

    ReplyDelete
  3. hana passport huyo

    ReplyDelete
  4. Passport anayo kwani Sudan na Algeria alikwendaje? Pengine labda passport iwe imekwisha. Ila ni majeruhi.

    ReplyDelete
  5. Sasa na wewe Dauda unatuchanganya, jana mwenyewe umeripoti kwamba ni majeruhi iweje leo uje na chemsha bongo tena, na kama hana Passport Sudan na Algeria aliendaje? Atakuwa ni majeruhi tu huyo.

    ReplyDelete
  6. Hajaenda kwa sababu walimnyima bangi.

    ReplyDelete
  7. kama hana pass aliendaje ulaya huyo jeuri sana na mibange yake ila soka anajua yaani bonge la mido tatizo anamuiga baloteli

    ReplyDelete