![]() | ||||||||||
| Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa 'Kilimanjaro Taifa Stars' wakiwa kwenye mazoezi ya viungo |
![]() |
| Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa 'Kilimanjaro Taufa Stars' wakiwa kwenye mazoezi chini ya Kocha Msaidizi Sylvester Marsh. |
![]() |
| Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa 'Kilimanjaro Taifa Stars' wakiwa kwenye mazoezi ya viungo chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Kim Poulsen. |
![]() |
| Juma Nyosso na John Bocco wakipambana kwenye mazoezi. |
![]() |
| Kipa wa timu ya soka ya Taifa 'Kilimanjaro Taifa Stars' akiwa kwenye mazoezi ya viungo |
![]() |
| Wachezaji wa timu ya soka ya Taifa 'Kilimanjaro Taifa Stars' wakiwa kwenye mazoezi ya viungo chini ya Kocha Mkuu wa timu hiyo, Kim Poulsen. |

all the best Taifa stars
ReplyDeletecarlos Muhuga
Mungu ibariki tanzania!
ReplyDelete