Search This Blog

Saturday, June 23, 2012

BREAKING NEWS! SIMBA YAMSAJILI BEKI MASOMBO LINO TOKA DC MOTEMA PEMBE

Hatimae wekundu wa msimbazi Simba leo hii wamefanikiwa kumsajili beki MASOMBO LINO kutoka klabu ya Dc Motema Pembe ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo.
Masombo Lino amabaye anacheza nafasi ya beki wa kati amekamilisha uhamisho mara tu baada ya kutua nchini leo asubuhi, awali Simba ilitaka kumsajili beki wa zamani wa Étoile Sportive du Sahel ya nchini Tunisia Gladys Bokese amabaye kwasasa anaichezea Dc Motema Pembe lakini imesitisha mpango huo na kuamua kumpa kibarua MASOMBO.

18 comments:

  1. Afadhali sasa mtulie maana mmelia muda wote na yondani! Sasa mtanyamaza! Ila nahic huyu pia atakuwa km warurya!

    ReplyDelete
  2. rudi mgosi simba ina kupenda lakini utarudi tuu nyumbani ni nyumbani.

    ReplyDelete
  3. rudi mgosi simba ina kupenda lakini utarudi tuu nyumbani ni nyumbani.

    ReplyDelete
  4. Kama hukumbuki,huyu ndio alikuwa anarusha mpira kwa style ya pekee kabisa.Kwani Yondani alicheza mechi ngapi za mzunguko wa kwanza?tumewazoea nyie wa usajili wa "Africa".

    ReplyDelete
  5. musa haasan mgosi tume kumiss bwana rudi simbaaaa sport klabu,,hatahivyo utarudi tuuu nyumbani ni nyumbani

    ReplyDelete
  6. musa haasan mgosi tume kumiss bwana rudi simbaaaa sport klabu,,hatahivyo utarudi tuuu nyumbani ni nyumbani

    June 23, 2012 2:09 PM

    ReplyDelete
  7. musa haasan mgosi tume kumiss bwana rudi simbaaaa sport klabu,,hatahivyo utarudi tuuu nyumbani ni nyumbani

    June 23, 2012 2:09 PM

    ReplyDelete
  8. Mlinzi kweli wa kuaminika? Isije kuwa ndo amekuja kumalizia soka lake huku? Je shushushu wetu Mgosi katoa data zote?

    ReplyDelete
  9. musa haasan mgosi tume kumiss bwana rudi simbaaaa sport klabu,,hatahivyo utarudi tuuu nyumbani ni nyumbani

    June 23, 2012 2:09 PM

    ReplyDelete
  10. Wacha zako wewe SImba hatumlilii Yondan tunachodai ni kuwa Yondan ana mkataba na SImba na si kumlilia, Na mambo ya Walulya yametokea wapi? Umekaa unahisi tu , unaonekana wewe ni mtu wa hisia Kali eeh? Hebu niambie kwanza ulipata hisia gani tulipowapiga zile 5??

    ReplyDelete
    Replies
    1. eti 2memsajili Yondan magoli yatapungua c kweli 5star zipo palepale!

      Delete
    2. Uzari wa mnyama huwa ha2sajili kwa mbwembwe kama kandambili nawahakikishieni Mungusa atakuja na moto ambao hakuna atakayeamini kama kapombe vile,kwani kuna mpenzi gani wa kandambili alimjuwa hapo kabla?au mnakimbilia kusajili majina?

      Delete
  11. me ndio maana nilisema mashabiki wa yanga ni wafinyu wa kufikili huwezi kuingiza swala kama hilo na habali za jangwani

    ReplyDelete
  12. Afadhari Walulya,huyo ndiyo mbovu kabisa,bora wangemchukua FUSO amalizie soka lakee kwao!

    ReplyDelete
  13. Naipongeza Simba kwa kuendelea kufanya usajili makini bila bwebwe kama watani we2, Niwakumbushe tu wanasoka wote kuwa Simba haizibi pengo la Yondani bali inasajili kikosi imara kwa ajili ya michuano ya kimataifa

    ReplyDelete
  14. 'Yanga Africa Nzima'hahahahaha wakiingia kombe la Africa round ya kwanza nje hata wakipangiwa timu ya Somalia hahahahaha iacheni Simba iitwe Simba aisee mwakani beki nyota Obadia Mwungusa mje kumchukua maana nyie hata wachezaji hamjui timu inasajili haina kocha wala viongozi daaaah Yanga kweli timu ya wehu anasajili muuza magari.

    ReplyDelete
  15. Simba ni Simba tu, siku zote inasajili wachezaji bora,tatizo la yeboyebo hawajui kusajili ndiyo maana kila mwaka wanatolea macho wachezaji wa Simba, matokeo yake wanatengeneza tawi la simba ndani ya yanga

    ReplyDelete