Search This Blog

Friday, May 18, 2012

YANGA NA SIMBA MNAONA HII - INAWAHUSU

Kawaulize Simba na Yanga wanaingiza kiasi kutokana na mauzo ya jezi zao zilizojazana mitaani, Huu mzigo mpaka kukamilika hivi ni Euro 150 karibia laki tatu ya bongo! TAFAKARI!

1 comment:

  1. Kiingilio 5,000/= tunaona kikubwa,nini jezi 300,000/=

    ReplyDelete