Search This Blog

Friday, May 11, 2012

unafahamu kwanini Yanga walibadili kutoka nyeusi to kijani?


unafahamu kwanini Yanga walibadili kutoka nyeusi to kijani? wapenzi wa yanga watajibu sahihi lakini
mashabiki watajibu kishabiki kama kawaida yao.sijui wewe mwenzangu uko kundi gani? dah yaani haya
majembe haya acha kabisa. kwa wa sasa wakina nani wanawezafananishwa kiduchu na hawa? bado wa simba.

* * *
From Left; Hamisi Gaga Gagarino (marehem), saidi mwamba kizota (marehem), David Mwakalebela,
Method Mogella (marehem) abeid mziba Ken Mkapa(captain) na Salum kabunda ninja.


Aaah, Enzi hizo bana.., watoto mlioanza kushabikia mpira 2005 mnawakumbuka hao ??

1 comment:

  1. Hawa jamaa walikuwa hatari naamini tungekuwa na striking force ya aina ya kina Lunyamila na Mohamed hussein kwa aina hii ya udhamini wa sasa katika soka, tungetisha jombaa.Ila ndio hivyo tena ila naaamini bado kuna vipaji lukuki mtaani ni mipango tu mibovu tuliyonayo.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete