Search This Blog

Wednesday, May 23, 2012

NIMETOKA KUSHUHUDIA BAYERN MUNICH WAKIIFUNGA UHOLANZI 3-2

Usiku wa kuamkia leo nilienda uwanja wa Allianz Arena kuangalia mechi ya kirafiki kati ya FC Bayern Munich na timu ya taifa ya Uholanzi - mechi imeisha kwa Bayern kuibuka na ushindi wa 3-2.


Hii ndio ilikuwa tiketi yangu ya kuingia uwanjani kuangalia mechi hiyo.


Bayern Munich 3 - 2 Netherlands footyroom.com by Futbol2101

1 comment:

  1. Wadachi ni wakali, Im backing up them to win the Euros.

    ReplyDelete