Search This Blog

Friday, May 18, 2012

KUELEKEA SAFARI YA MWISHO YA KIPENZI CHETU PATRICK MAFISANGO ALIVYOAAGWA LEO ASUBUHI

Wachezaji wa timu ya taifa ya Tanzania, Shabaan Nditi, Juma Nyosso, na Bocco wakiwa wamebeba jeneza la mchezaji mwenzio Patrick Mafisango wakati likiingia katika viwanja vya TCC kwa ajili ya kuagwa kabla ya kusafirishwa kwenda kwao DRC Congo kwa ajili ya mazishi.



Taifa Stars wa kwanza kushoto ni kocha wa makipa, Juma Pondamali

Katikai Kim Poulsen kocha wa Stars, kushoto Msaidizi wake Sylvester Marsh na kulia Meneja Leopold Mukebezi


Azim Dewji kulia na Leonard Thadeo kushoto



Gwiji wa Simba, Abdallah Kibadeni kushoto na Uhuru Suleiman


Makocha wa Yanga, Freddy Felix Minziro na kocha wa makipa Mfaume Athumani wakiwa na beki wa zamani wa Yanga, Willy Martine 'Gari Kubwa' wa pili kutoka kushoto

Makumbi Juma katikati

Eric Sagala 'Cantona' katikati


Suleiman Matola kulia

Juma Nyosso kushoto na John Bocco 'Adebayor' kulia wakiwa wamebeba jeneza

Shabiki Mkongomani akidhibitiwa baada ya kupagawa alipoona jeneza la marehemu Mafisango

Amir Maftah aliyebeba msalaba na Mwinyi Kazimoto kashika picha



Nahodha wa Simba Juma Kaseja akisaidiwa baada ya kushindwa kujizuia na kuangua kilio kiasi cha kuishiwa nguvu

Kaseja ni huzuni na kilio


Jeneza la Patrick Mutesa Mafisango


Makamu Mwenyekiti wa Simba, Kaburu na Leslie Liunda kushoto




Kocha wa Simba, Milovan Cirkovick

Milovan kilio


Shabiki 'hayawani' la Yanga, maarufu kama J4 likicheka msibani

Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo Dk Fennella Mukangara (wa pili kutoka kushoto)akiingia Uwanja wa TCC


Dk Fenella na Thadeo wakijadiliana




Jamal Malinzi mwenye miwani





Ibada

Mchungaji Tito Kyame akiongoza ibada ya kumuombea marehemu

Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa akitoa rambirambi

Ofisa wa Push Mobile, mmoja wa wadhamini wa Simba akitoa rambirambi

Mwenyekiti wa Simba, ALhaj Ismail Aden Rage akitoa hotuba 


Wazee wenye busara wa Simba

Rage akimuinua Dk Fenella akahutubie

Athumani Tippo 'Zozzou'

Kiggi Makassy kulia

Clement Kahbuka kushoto na Athumani Jumapili Chama kulia

4 comments:

  1. Too sad...Umetuachia majonzi makubwa R.I.P Patrick Muteesa Mafisango.
    Shukrani Shaffih kwa matukio katika picha pamoja na kwamba uko mbali.
    Mdau
    Mike

    ReplyDelete
  2. Tuseme nini sasa, basi tu tunabaki na huzuni, Mafisango utangulie kwa amani.

    ReplyDelete
  3. Hilo shabiki J4 a.k.a Hayawani..ni laanatulah..ndiyo maana mungu kamuumba kilema...

    ReplyDelete
  4. sio shabiki hayawani huo ndio utani wa jadi sio lazima ulie kwenye msiba

    ReplyDelete