hapa ni Villa Squad sehemu ambayo marehemu Patrick Mafisango (Mwenye mtoto ) alikua anapenda kupumzika hata Simba itoke wapi lazima aje na begi lake hapa na ndio atakwenda kwake ni sehemu maarufu sana mtaa wa Kionga na Makurumla Magomeni Mapipa kama unavyoona kuna Ramadhan chombo Redondo,Ahmed Mkeche na baadhi ya wanachama wa villa Squad.
hatokiona tena kijwechake, dah bele yake nyuma ye2
ReplyDeletehatokiona tena kijiwe chake mbele yake nyuma ye2
ReplyDelete