Search This Blog

Saturday, May 26, 2012

EXCLUSIVE: HII NDIO SIRI YA MAISHA YA WACHEZAJI WA KIBONGO NJE YA TANZANIA.


Kwa miaka ya hivi karibuni Watanzania tumekuwa tukijivunia sana juu wachezaji wetu wa kibongo kujaribu kucheza soka la kulipwa katika nchi mbalimbali barani ulaya. Lakini je umeshawahi kujiuliza ni wachezaji wetu wa kitanzania wanaishi vipi kwenye nchi hizo. Kupitia www.shaffihdauda.com utapata kujua mambo mengi yaliyo nyuma ya maisha ya Wachezaji hawa wa kibongo waliopo barani ulaya kwa madai ya kucheza soka la kulipwa.

STAY TUNEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEED

5 comments:

  1. KAKA SHAFFIH HUKO UNAKOKWENDA SASA SIKO! TAFADHALI SANA STOP HAPO HAPO MAISHA YA WATU BINAFSI YANAKUHUSU NINI?

    FANYA LILILOKUPELEKA HUKO ACHANA NA MAISHA YA WATU PLS PLS BLOG HII SASA UTAIGEUZA KUWA BLOG YA UDAKU

    U HAVE BEEN WARNED!

    ReplyDelete
    Replies
    1. usimfundishe uoga...soka ni ndani na nje ya uwanja...ndomana tunakuja kupata stor za wachezaji kukamatwa kisa madawa ya kulevya unakumbuka kitendawili cha YUSUF SOKA, na stori za BAKAR MALIMA..na matukio mengine mengi...soka haliishii kwenye pitch bro...ni suala kubwa tujuze mzee DAUDA.achana na wenye fikra mgando kama huyo hapo juu.

      Delete
  2. mie sina neno, nasubiri kujua kama wanaosha vyombo kama mimi au wanapiga deki.

    ReplyDelete
  3. Dauda tupe habari tujue maendeleo yao,maana itatupa picha ya halihalisi ya vijana wetu wengine wenye malengo ya kucheza ulaya Isipokuwa ziwe habari makini hatutaki udaku!

    ReplyDelete
  4. Tujulishe maisha yao ya mpira, maisha binafsi ya mtu unayatakia nini? mbona maisha yako binafsi hatuyajui? wewe tujulishe wanafanya nini, wanacheza timu gani, na vitu kama hivyo.
    Mdau
    Sweden

    ReplyDelete