Search This Blog

Thursday, May 31, 2012

CHEMSHA BONGO: HAWA NI WATOTO WA WACHEZAJI GANI WA HISPANIA

Hint: Mtoto mmoja baba yake anacheza kwenye EPL na mwingine baba yake anachezea Real Madrid.

11 comments:

  1. huyo wa kushoto naona kama Arteta so labda atakuwa mwanawe kulia no idea

    ReplyDelete
  2. Huyu dogo wakushoto atakuwa mtoto wa Suarez na huyu wa kulia atakuwa chalii wa kaka.

    ReplyDelete
  3. huyo wa kulia ni wa alonso na huyo wa kushoto ni nasri

    ReplyDelete
  4. uyu wa kushoto ni wa mikel arteta na uyu wa kulia ni wa xabi alonso its me slasher kwanja jr from ilala boom fc

    ReplyDelete
  5. shoto -arteta......wa kulia........alonso.....over.

    ReplyDelete
  6. huyo wa kushoto ni mtoto wa mikel arteta na huyo mwingine ni xabi alonzo

    ReplyDelete
  7. Kulia ni mtoto xabi alonso na kushoto ni mtoto wa Arteta

    ReplyDelete
  8. Kushoto mtoto wa Mikel Arteta na wa kulia ni wa Xavi Alonso. By Rasheed Khalifah

    ReplyDelete
  9. Kutoka kulia mtoto wa David Silva na mtoto wa Alonso

    ReplyDelete
  10. Mtoto wa kushoto ni wa Torres na wa kulia ni wa Alonso.

    ReplyDelete
  11. KUSHOTO NI TORRES KULIA NI ALONSO....

    ReplyDelete