Search This Blog

Thursday, May 10, 2012

BREAKING NEWS: ADIDAS KUIDHAMINI TAIFA STARS

Habari za uhakika nilizozipata kutoka ndani ya shirikisho la soka Tanzania TFF ni kwamba kampuni ya utengenezaji wa mavazi ya Adidas imeingia mkataba wa kuidhamini Taifa Stars katika suala zima la jezi. Kwa taarifa zaidi endelea kutembea http://www.shaffihdauda.com/

5 comments:

  1. xaf xana bt vngoz we2 wancktisha hawan mpngo endlevu ktk soka bg up addidas!.

    ReplyDelete
  2. safi sn tunahitaji makampuni km hayo makubwa kuwekeza ktk soka letu hii itasaidia pia kukuza soka letu. its me kwanja jr from fc boom ilala.

    ReplyDelete
  3. This kind of udhamini...tc obvious good but in case of Tanzania i think tc nat the right time...there is no good platform in the whole system which produce national team players because msingi is nat built well,there is no light,may be in case of inspirational and national team spirit and umateumate to players will rise;in case of vision and mission for Tanzanian football still hata kutambaa bado;for short run may bring light..but for the future sake of our football we are doomed!!!
    bonny pesabon;-mdau

    ReplyDelete
  4. Tusisherekee kiurahisi...neno kudhamini is very broad....je what r thr terms of udhamini? how about training equipment kuanzia physical hadi designing the game? otherwise hata jezi za TBL ni udhamini

    ReplyDelete
  5. Soka bwana wadau mna kelele nyingi sana ndo maana hatufanikiwi. Sasa nyie mnao ponda hapo nnamanisha nn? Mara ooho mcsherekeh mara tc iz not riT tyme ha ha ha ha ha ondoen huo uchafu wn *b*@g* nyie!

    ReplyDelete