AIRTEL RISING STARS YAZINDULIWA JIJINI DAR ES SALAAM.
Mashindano ya kuvumbua vipaji maarufu kama Airtel Rising Stars yamezinduliwa rasmi hii leo jijini Dar Es Salaam na Wazir wa Mawasiliano Sayansi na Teknojoria Profesa Makame Mbarawa, Kwenye uzinduzi huo pia alikuepo Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Bwana Sam Elangalloor. Mwakilishi wa TFF kwenye uzinduzi huo alikua ni mkurugenzi wa Mashindano Bwana Saad Kawemba.
Kiungo wa zamani wa Manchester Utd Quinton Fortune akionyesha ujuzi wake wa kuuchezea mpira.
No comments:
Post a Comment