Real Madrid wamezindua ujenzi wa $1billion wa holiday resort huko katika falme za kiarabu ambayo inategemewa kufunguliwa january 2015.
'Real Madrid Resort Island' itakuwa ikisapotiwa na serikali ya falme za kiarabu, klabu ilitangaza jana Alhamisi.
Presentation iliyofanyika katika uwanja wa Bernebeu iliyoonyesha plans za eneo la michezo litakavyokuwa, hotel na majengo mengine ya kifahari, hifadhi ndogo ya wanyama, eneo la kutunzia kumbukumbu za klabu pamoja na uwanja wa soka utakaoweza kuingiza watu 10,000 huku upande mmoja ukitazama baharini tena pakiwa wazi.
No comments:
Post a Comment