![]() | ||
| HAUKUWA USIKU MZURI KWA VILABU VVYA MJI WA MANCHESTER BAADA YA MAN CITY PIA KUTOLEWA KWENYE KOMBE LA EUROPA - JAPOKUWA WAKIPATA USHINDI WA 3-2 KWA DHIDI SPORTING LISBON. |
![]() |
| AGUERO AKISHANGILIA BAOLAKE LA PILI NA LA KUSAWAZISHA KWA CITY. |
![]() |
| SPORTING LISBON WAKIWA WANASHANGILIA BAADA YA KUWATOA MAN CITY. |
![]() |
| MARIO BALOTELLI AKIFUNGA PENATI NA KUFANYA MATOKEO YA UBAO YASOMEKE 3-2, LAKINI HADI MWISHO WA SIKU WALIKUWA NI SPORTING WALIOKUWA WAKISHANGILIA KWA KUWA NA FAIDA YA GOLI 2 ZA UGENINI. |





No comments:
Post a Comment