Search This Blog

Friday, February 10, 2012

VILLA SQUAD YAALIKWA BUNGENI BAADA YA KUIFUNGA SIMBA BAO 1:0

Klabu ya Villa Squad imealikwa bungeni kutokana na ushindi walioupata hivi karibuni dhidi ya Simba kwenye mchezo wa ligi kuu ya Vodacom.

2 comments:

  1. kwa nini hizo pesa zote wasiisaidie timu kuiimarisha na kulipa ghara zingine? Huyo aliwaalika bungeni awape fedha tu ziwasaidia.wanaburuza mkia hao,kuifunga simba si kuchukua ubingwa.

    ReplyDelete