Search This Blog

Friday, February 3, 2012

Kwasasa Cristiano anataniwa kuwa CR7 =Cristiano Penaldo 7 au Penotric


Je wajua ukweli? Cristiano Ronaldo ndiye mchezaji aliyeweka rekodi kwenye LA LIGA kwa kufunga magoli mengi ktk nusu ya kwanza ya msimu, ambapo mabao 7 kati ya hayo mabao 24 ameyafunga kwa njia ya PENALTI. Ameweka rekodi ya kufunga magoli ya penalti nyingi zaidi miongoni mwa wafungaji bora waliowahi kuweka record ya ufungaji bora kwenye LigaBBVA. Mpaka sasa  ktk magoli 24 aliyofunga magoli 7 ni kwa njia ya penalti. Mpaka mwishoni mwa msimu uliopita  alikuwa amepewa zaidi ya magoli 10 ya penalti. Vilevile kati ya magoli 22 alofunga Messi goli 1 tu ndo lilikua la penalti. Kwasasa Cristiano anataniwa kuwa CR7 =Cristiano Penaldo 7 au Penotric. Source [él comfidèntial 2011].


KUTOKA KWA MDAU BRYSON SABUNI!

3 comments:

  1. but at ze end of the day jamaa mkareee

    ReplyDelete
  2. ppo...ss 2nataka cr7 awe anapaisha ama anakosa penat ama?penat ni pat ya gemu na hazitolewi bure nadhani 2nalifahamu af 2meona wachezaji wakubwa km mec na runy wanakosa penat co wanapenda bt inatokea.jaman 2mtendee haki, runy juzi kati iv amekosa penat mara ahaa mara kile angepata perfect 2ngesema ya cr7,au ?

    ReplyDelete
  3. Cr7 ukimpa penat kuna uhakika wa 96% atapata, ila messi ana 76%. In la liga cr7 amepewe penat 24 na amepat 23, ila messi kapewa 27 amekosa 7. Kwa msimu huu cr7 amepata zote na mess amekosa penat mbili muhimu

    ReplyDelete