Search This Blog

Friday, February 3, 2012

Debate:Sekretariet ya TFF ilikuwa wapi toka kipindi hicho kuomba mwongozo hadi wasubiri leo uchaguzi wa DRFA umetangazwa ?

Kamati ya rufaa ilishatoa hayo maamuzi muda mrefu siku chache baada ya uchaguzi wa Mara kufanyika , sasa Sekretariet ilikuwa wapi toka kipindi hicho kuomba mwongozo hadi wasubiri leo uchaguzi wa DRFA umetangazwa na Wambura alionyesha nia ndio wanaomba mwongozo?

7 comments:

  1. hapo issue ni wambura wala c mwongozo mana hata kama mwongozo utaonesha kwamba maamuzi ya awali kuwa wambura nastahili kugombea bado tff wataenda mbali zaidi yani kuikana katiba yao wenyewe kuhakikisha wambura hagombei. nawashauri tff kuwa njia bora ya kumaliza zengwe hili c kumzuia wambuara kugombea bali ni kumuunga mkono na iwashawishi wapiga kura kwamba wambura hafai ili wasimpigie kura..najua watashindwa kwani wambura atashinda

    ReplyDelete
  2. Wanamnyanyasa sana bwana Wambura lakini haki yake haitapotea hata tone

    ReplyDelete
  3. kweli hii ni tanzania football fitna (tff)

    ReplyDelete
  4. hakuna jambo lisilikuwa na mwisho ! itafika mahali kitaeleweka tu waache umbayuwayu msemo wa JK! tenga ebu funguka suala la wambura maana sasa kwanini mnamnyima haki yake kikatiba

    ReplyDelete
  5. mi nadhani hawa jamaa si bure,wanamuogopa sana wambura ndio maana wanafanya kila njia kumuondoa kwa mizengwe..kama wanajiamini si wamuache agombee

    ReplyDelete
  6. Jamani ni wakati wa wadau wa soka kupiga kelele kwanini hawa jamaa wana mnyanyasa sana huyu bro?Hao TFF wanahati miliki ya soka la nchi hii?

    ReplyDelete
  7. Jamani ni wakati wa wadau wa soka kupiga kelele kwanini hawa jamaa wana mnyanyasa sana huyu bro?Hao TFF wanahati miliki ya soka la nchi hii?

    ReplyDelete