Search This Blog

Friday, February 10, 2012

CHEMSHA BONGO! TAJA WALAU MAJINA YA WACHEZAJI 3 KUTOKA KWENYE PICHA HII.

3 comments:

  1. nimemuona Mbwana Samatta tu aliyevaa utepe wa unahodha wengine mmmh!

    ReplyDelete
  2. Mbwana Samatta wa pili kutoka kulia waliosimama

    ReplyDelete
  3. kutoka juu,golikipa Aziz,Mohamed samata,Adam Nyongwa,Mbwana Samata,
    Chini kushoto:Hamadi Shekhe,Juma kibuda(rooney),Victor wa mwisho kabisa Issa.

    kaka hiki kikosi kilikuwa balaaa,mulize yusuf macho alilusha ngumi fainali pale mbagala Zakhem,
    huyo alivee vaa utepe wa unaodha anaitwa juma kibuda(rooney wa kimbangulile) jamaa ni hatari.kikosi kikiongozwa na salehe(moringho)

    By:mjuvi

    ReplyDelete