Search This Blog

Thursday, February 16, 2012

ARSENAL WAMUAGA VIBAYA THIERRY HENRY - WAPIGWA 4-0 NA AC MILAN


HENRY AKISIKITIKA BAADA YA MCHEZO KUISHA.

Siku ya mwisho wa Thierry Henry akiwa amevaa jezi za Arsenal imekuwa mbaya zaidi kuliko ambavyo aliweza kudhani.

Gunners wamechezea kichapo cha goli 4-0 katika mechi ya kwanza ya hatua ya 16 bora ya champions league.

WAUAJI WA GUNNERS HAO.



Magoli ya AC Milan yalifungwa na Kevin Prince Boeten, Robinho na Ibrahimovich aliyepiga msumari wa mwisho katika jeneza la washika bunduki wa London.

IBRAHIMOVICH AKISHANGILIA GOLI LAKE DHIDI  YA ARSENAL.



Mechi hii ndio ya mwisho kwa Thierry Henruy akiwa amemaliza mkataba wake wa kutumikia klabu yake hiyo kwa mkopo wa miezi 2 na sasa anarudi kuichezea klabu yake ya New York Red Bull

No comments:

Post a Comment