Search This Blog

Sunday, January 8, 2012

SALUM BAUSI AZUNGUMZIA TUHUMA ZA RUSHWA KWENYE MCHEZO BAINA YA MIEMBENI NA SIMBA.

HIVI KARIBUNI KOCHA WA MIEMBENI SALUM BAUSI ALIAMUA KUJIUZULU NAFASI YAKE YA UKOCHA KWA KILE ALICHODAI KUAMBIWA ARUHUSU TIMU YAKE IFUNGWE NA SIMBA KWENYE MCHEZO WA KOMBE LA MAPINDUZI.





CHOMEKA SPEAKER AU VAA HEADPHONE AU EARPHONE ALAFU BONYEZA HAPA UMSIKILIZE SALUM BAUSI

6 comments:

  1. ndo tz hiyo kila kitu magumashi na itapita kimya kimya kama movie vile,mechi inaonyesha ilikua tough up to half tym 2-2 final 4-3 inaonyesha simba walikua wameshikwa,ngoja wapate hizo pesa kesho Simba vs Azam halafu mpira urudi nyuma..
    Me:-
    Rasheed Khalifah(Sinza)

    ReplyDelete
  2. Professional Coach huyu jamaa anastahili pongezi ndio maana mpira wa TZ hauendelei kwa kupanga matokeo

    ReplyDelete
  3. Nadhani is high time tuache kukumbatia upuuzi,tucheze soka.Yeye kocha inabidi akubali kuwa amefungwa.

    ReplyDelete
  4. Misimba na Miyanga ndiyo inayobaka soka la Tanzania kwa kuendekeza hongo, Bausi ameonyesha nia ya kweli katika soka la Tanzania na anastahili pongezi

    ReplyDelete
  5. Kaka big up sana ,kama tutakua na watu kama nyinyi wenye msimao basi tunaweza kufika mbali .hili linadhihirisha dhahir kama si kwenye ligi tuu hata mwalimu wa timu yetu ya taifa hua analazimishwa achague watu wanao wataka wao tff ili kama kuna kula ipo basi wafaidike wanaowajua wao.na sio watu wenye vipaji ambao hawajulikani...

    ReplyDelete
  6. kaka watu kama tunawahitaji ili tuweze kukomboa soka letu la bongo,na kama TFF wapo smart wanatakiwi kuichukulia kauli hii ya Salum Bausi kama tuhuma kwa aliyehusika.

    ReplyDelete