MTOTO WA ALIYEKUA KOCHA MCHEZAJI WA SIMBA HASSAN AFIF,ALI HASSAN AFIF ANAENDELEA KUFANYA VIZURI SANA AKIWA NA KLABU BINGWA BARANI ASIA YA AL SAAD.
KIJANA HUYO AMBAYE TAYARI AMECHUKUA URAIA WA NCHI YA QATAR.
ALI AFIF ANAVAA JEZI NAMBA 20 NA TIMU YAKE YA AL SAAD.
HASSAN AFIF KULIA AKIWA NA ZAMOYONI MOGELLA WAKATI HUO ANAICHEZEA SIMBA SC.
No comments:
Post a Comment