Search This Blog

Tuesday, January 3, 2012

MSAADA TUTANI! HUYU NI NANI ?

Shaffih unamkumbuka huyu legend wa bongo? tupia hiyo picha kwenye blog yako uwaulize wadau kama wanamkumbuka huyo mzee kona bao!

9 comments:

  1. kingsley Malwilo...

    ReplyDelete
  2. Shafii huyu jamaa anaitwa Ally Malilo 'Loketo' nyota wa zamani wa Sigara na timu nyingine alizowahi kuchezea. Kwa sasa jamaa anabana mitaa ya Magomeni Mwembechai na huipiga tafu timu ya Kagera Rangers

    ReplyDelete
  3. Nimeshituka. Dah sasa hiyo fulana ya Alli ina label ya ward ya vichaa na hilo sijui embe anakula. Mi nkajua jamaa tushampoteza. Namjua alikuja reli Moro na alitusaidia sana enzi za reli kiboko ya vigogo akitokea coastal au african sports.
    Mshikaji ana utege fulani hivi wa ndani,mfupi mweusi tii. Ilikuwa ni silaha kali sana. Soka la bongo halilipi kabisa. hastahili kuishia hapo huyo mshikaji....

    ReplyDelete
  4. Du wasione wazee wanoko, watazuia watoto kucheza mpira

    ReplyDelete
  5. hiyo t shirt aliyovaa mbona ya hospitali ya vichaa au wabongo hamjui kithungu(mitumba itatuua)

    ReplyDelete
  6. Ally Malilo Loketo mchezaji wa Nungu Fc ya jangwani,Forest ya Kariakoo,Sigara sc mwisho kamalizia kwa wazee wa Jangwani Kuala Lumpa Marlasya Dar Young African wazee wa Zengwe.

    ReplyDelete
  7. ni ngoma loketo kona bao,,,,

    ReplyDelete
  8. Huyu ni Ally Malilo "LOKETO". Alikuwa jirani yangu pale mwembechai. Vipi tena mbona naona kama mambo yake hayako sawa kulikoni?

    ReplyDelete
  9. Ali
    si unajua master wa bongo?. wakishatoka kwenye game wanakuwa waokota makopo!

    ReplyDelete