Search This Blog

Wednesday, January 4, 2012

HAWA NDO WALIKWENDA NA MBWANA SAMATTA LUBUMBASHI...MSIKILIZE KWA MAKINI SALEH SAID KIONGOZI WA KIMBANGULILE FC...

UKIMUACHA GODFREY NYANGE KABURU NA MBWANA SAMATTA KWENYE HUO MSAFARA,HAO WENGINE NI KINA NANI ? WALIENDA LUBUMBASHI KUFANYA NINI ? WALIKUA KAMA NANI KWA MBWANA SAMATTA ?





BONYEZA HAPA CHINI UMSIKILIZE SALEH SAID..


3 comments:

  1. Bro hebu jamani tuwe serious ni club gani kati ya hizi za mitaani zinaweza kuandika mkataba kama huo au ni njia za watu kutaka pesa kwa njia za ujanjaujanja?Nadhani Shaffih hutakiwa kuintain vitu vya namna hii.
    Prosper.

    ReplyDelete
  2. Bro hebu jamani tuwe serious ni club gani kati ya hizi za mitaani zinaweza kuandika mkataba kama huo au ni njia za watu kutaka pesa kwa njia za ujanjaujanja?Nadhani Shaffih hutakiwa kuintain vitu vya namna hii.
    Prosper.

    ReplyDelete
  3. huyo jamaa anitwa jamali kisongo ndio fisadi mkuu wa sakata la samata,ndio aliyewazulumu mbagala market kutoka soko la mbagala ambao walikuwa mamiliki wa timu ambayo alimuzia MO,huyo ndio aliwazulumu wanasaccos wa mbagala na huyo ndio mwenye accademy ambayo iliyochukua usd 5000 kutoka simba ambazo ni halali kwa kigumbangulile

    ReplyDelete